Najibu maswali yote kuhusu Afya ya kinywa na meno

Najibu maswali yote kuhusu Afya ya kinywa na meno

magego yangu yote yana mashimo,alafu fizi zinatoka damu mara kwa mara haswa kipindi cha asubui nikitoka kuamka


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ni dalili ya kwanza ya periodontitis.Unaweza ukapoteza magego yako yote. Muone daktari wa meno haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom