T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Jan 21, 2019 #21 The Skunk said: magego yangu yote yana mashimo,alafu fizi zinatoka damu mara kwa mara haswa kipindi cha asubui nikitoka kuamka Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Hiyo ni dalili ya kwanza ya periodontitis.Unaweza ukapoteza magego yako yote. Muone daktari wa meno haraka iwezekanavyo.
The Skunk said: magego yangu yote yana mashimo,alafu fizi zinatoka damu mara kwa mara haswa kipindi cha asubui nikitoka kuamka Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Hiyo ni dalili ya kwanza ya periodontitis.Unaweza ukapoteza magego yako yote. Muone daktari wa meno haraka iwezekanavyo.
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Jan 21, 2019 #22 kasampaida said: Meno kuwa na ganzi unapokula vitu vichachu au baridi tiba yake nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Jaribu kuacha kula vitu vichachu .Kuna dawa za meno za kutuliza sensitive teeth na pia dawa za kusukutua. Kama ni kinywaji kichachu au baridi kupunguza tatizo tumia mrija.
kasampaida said: Meno kuwa na ganzi unapokula vitu vichachu au baridi tiba yake nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Jaribu kuacha kula vitu vichachu .Kuna dawa za meno za kutuliza sensitive teeth na pia dawa za kusukutua. Kama ni kinywaji kichachu au baridi kupunguza tatizo tumia mrija.