Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Kama kutoa mimba sio kosa aliweka ya nini, si akachomoe na kizazi kabisa ili asiwe na mawazo au taabu za kutoa.
 
Kabisa. Boya sana huyo. Yeye wazazi wake wangetumia hizo akili angekuwapo hapa...... Pumbavu zake..... Majitu mengine mabao yao yalitakiwa yaishie kwenye condom au lingekuwa bao la punyeto tu.
 
Fikiria mama yako angekuwa na akili na mawazo hata uamuzi kama vyako ungekuwa wapi? Acheni kuzini zini hovyo mtaumia baadaye mkikumbuka mliowaua kwa ujinga na tamaa zenu
 
Nyie ndo wale baadae kikiumana mnakimbilia kwa waganga kwamba mmelogw hampat watoto kumbe ndo hivi mnajiharibia kwa kweli si kushauri ufanye huo u$enge

We nenda kacholopoe hiyo mimba ila siku ukidhani upo tayari kuzaa ukahangaika bila mafanikio ndo utajua hujui
 
Tofauti ni nini?
 
Ni umbumbumbu wake tu. Huko Canada hata visichana vya miaka kumi na vinapewa vidonge vya kuzuia mimba, yeye kajaa ujinga tu.
 
Kama kutoa mimba sio kosa aliweka ya nini, si akachomoe na kizazi kabisa ili asiwe na mawazo au taabu za kutoa.


Hivi nyie watu mnasoma vyema ninachoandika??!!---- msitake niamini kile kinachosemwa kwamba watz wengi walikwenda shule kuhudhuria madarasa tu na wala sio kujifunza na kuelewa (learning to understand).

Nasema hivi; KUTOA MIMBA BILA SABABU ZA MSINGI NI KOSA KAMA MAKOSA MENGINE ANAYOWEZA MTU KUFANYA ila kosa hilo halifanani na kosa la kuua mtu, yaani mtu achukue silaha, sumu nk, na akaenda kuua mtu tuseme mpita njia halafu aje mtu aseme kosa hilo ni sawa na KUTOA MIMBA???!!, ninachopinga mimi ni kunathibisha utoaji mimba na Uuaji wa aina hiyo ambao watu wengi wamekuwa wameshadia na kuuhalalisha kimakosa kama ni sawa na mauaji ya MTU binafsi (an individual).

Nadhani mtakuwa mmenielewa.
 
Siku Sir God anakuhukumu atatumia ushahidi huu kwamba mpaka sms ukatuma jf na ukapewa maoni usitoe/usiuwe kiumbe wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…