Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulivyo anza ku- engage naye ulikuwa ufahamu kama umri wake umeenda?Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Umezaliwa mwaka gani 2000 au 2001?Nyie mnaoniombea mabaya nyie mngeweza ambae anazani uko nae kwa sababu ya pesa wakat sio kweli? Mkikorofishana kidogo iyo ndo inakua km silaha ya kukuumiza kisa tu mnatofautiana mitazamo
Bado anataka awe na free mandela za kubanjuka na ma bazazi wengineHaka katineja kana tamaa sana kamedanga kwa jamaa mwenye pesa ..
na huyo jamaa ni zoba flani anayejaribu kumcontrol ili kumwin huyu demu..
ndio maana amefanya hadi harakati za engagement na familia ya demu inajuwa..
ila inakuwa ngumu kwasababu wadangaji sio loyal bado kana tamani kuruka ruka kuwa free kula ujana.. sasa anapojiona kuwa soon anaenda kuwa mama anaogopa !
Huyu inawezekana kabisa ni nigga tu anatu letea miyeyusho na nyuzi zake fake .. kupiyia hii IDBado anataka awe na free mandela za kubanjuka na ma bazazi wengine
Hivi mama yako angekuwa katili na mpumbavu kama wewe ungekuwa wapi mwanangu?Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Huenda ikawa hivyoHuyu inawezekana kabisa ni nigga tu anatu letea miyeyusho na nyuzi zake fake .. kupiyia hii ID
Sijawahi ila majority ya wanawake wametoa kuanzia mabinti Hadi wanawake walio ndoani ndio vinara wa kufyatua vi zygoteNa ww ulishawahi kunyonga kamoja best?
Imeshatoka?Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Dah usitoe ....mimi nina mtoto ana miezi mitano now ni story ndefu kidogo lakini nilikuja gundua ikiwa na 6 months ni mungu tu because sikujua that I was na nilipima 3times haikuomekana now nalea ni raha Sana kupakata mwanao nilipitia vikwazo vingi Sana hadi najifungua hamna Cha baba wala ndugu yoyote nilipangiwa tu nikaishi pekeyangu hadi najifungua now I live my life na mwanangu hatakama sina Cha kula nikimuona yeye anatabasamu ni furaha kwanguSipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
It never works. Ingawa kutoa sio option na hatakiwi kutoa. Kuweka uhusiano na mtu kisa watoto ni tatizo.Mtihani huo , ila usitoe , mshirikishe mzazi mwenzio labda this time mna kiumbe mnaweza kua na ' maelewano' unayotaka
Alipokuwa anafanya tija ilikuwa wapi?!Mie sioni shida mtu kutoa mimba endapo anaitoa kwa malengo mazuri. Yenye tija