Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Yani wewe binti!!
Wazazi wako sijui huwa wanajua unachoandika humu.
Uko very troubled miaka mingi sana.

Anyways, pengine na wangu ni hivi na mi sijui.
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
ulivyo anza ku- engage naye ulikuwa ufahamu kama umri wake umeenda?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Litakalokutokea likutokee tu niche kuombea wagonjwa nikuombee muuwaji eti umri hauruhusu wenimtoto wawapi unamchumba unajuta kuwa namtu mwenye umri mkubwa kweli utoto raha
 
Nyie mnaoniombea mabaya nyie mngeweza ambae anazani uko nae kwa sababu ya pesa wakat sio kweli? Mkikorofishana kidogo iyo ndo inakua km silaha ya kukuumiza kisa tu mnatofautiana mitazamo
Umezaliwa mwaka gani 2000 au 2001?
 
Tafadhali mdogo wangu acha kutoa icho kiumbe nakuomba.. huta kaa uwe na amani kamwe. Madhara ni makubwa kuliko unayopitia saiv. Navho kuomba mshirikishe huyo mchumba wako kuwa una ujauzito maana umesema hakuna anae jua. So cha kwanza anza kumueleza kuhusu mimba.
 
Hii ID ni ya uongo uongo hata ukichunguza mada zake zote!

Sijui hasa lengo la mhusika ni nini?
na mhusika ana I'd zaidi ya 1
 
Haka katineja kana tamaa sana kamedanga kwa jamaa mwenye pesa ..

na huyo jamaa ni zoba flani anayejaribu kumcontrol ili kumwin huyu demu..

ndio maana amefanya hadi harakati za engagement na familia ya demu inajuwa..

ila inakuwa ngumu kwasababu wadangaji sio loyal bado kana tamani kuruka ruka kuwa free kula ujana.. sasa anapojiona kuwa soon anaenda kuwa mama anaogopa !
Bado anataka awe na free mandela za kubanjuka na ma bazazi wengine
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Hivi mama yako angekuwa katili na mpumbavu kama wewe ungekuwa wapi mwanangu?
 
Raha yako kupeana na huyo jamaa utupe shida sisi tupo ma majembe yapo tutakufukia tu
 
Kwani hiyo mimba unaenda kuitoa kiss Nini?? Ulibakwa?? Et unasema bado unasoma?? Real hukuyajua hayo kabla? Nadhan Sina chakushauri nenda kaue
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Imeshatoka?
 
Usitoe dada lea tu hiyo mimba hayo mambo ya kutoa yalishapitwa na wakati pia ni hatari kwa afya yako.
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Dah usitoe ....mimi nina mtoto ana miezi mitano now ni story ndefu kidogo lakini nilikuja gundua ikiwa na 6 months ni mungu tu because sikujua that I was na nilipima 3times haikuomekana now nalea ni raha Sana kupakata mwanao nilipitia vikwazo vingi Sana hadi najifungua hamna Cha baba wala ndugu yoyote nilipangiwa tu nikaishi pekeyangu hadi najifungua now I live my life na mwanangu hatakama sina Cha kula nikimuona yeye anatabasamu ni furaha kwangu
 
Mtihani huo , ila usitoe , mshirikishe mzazi mwenzio labda this time mna kiumbe mnaweza kua na ' maelewano' unayotaka
It never works. Ingawa kutoa sio option na hatakiwi kutoa. Kuweka uhusiano na mtu kisa watoto ni tatizo.
 
Back
Top Bottom