Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Well nadhani watu watakupa mawazo mazuri zaidi.

Usipende kutumia simple solutions katika kusolve matatizo yako.

Fine unataka kutoa mimba, lengo?

1. Ili your next Hubby abelieve kwamba wewe hujawahi shika mimba?

2. Je hakuna wanawake wanaoolewa na watu wengine wakiwa na watoto?

3. What If kama hautokuja kushika tena ujauzito na huu ndio uliochomoa?

4. Wazazi wako wangekuwa na mawazo kama hayo kipindi cha ujauzito wako wewe ungeexist?

Maswali ni mengi ila ngoja niishie hapa.

Nina rafiki yangu alinisimulia kisa Chake roho iliniuma sana.
 


Wewe nani kakuambia kutoa mimba ni kuua???---- kuna andiko lolote la dini au sheria ya nchi inasema kutoa mimba ni kuua???

NB: mimi sina haja ya sababu zako zinazopelekea kutoa mimba, mimi swali langu ni kuhusu kuoanisha utoaji mimba na uuaji.
 
Futa huo mstari ulioandika "Mungu akipenda "
Kuhusu maombi naomba Kwa Mungu mwenye mamlaka ya uumbaji, kutoa na kuchukua uhai,mwenye kupanga Majira na nyakati, yeye aijuae kesho yetu na ambaye anatuwazia mema akupe ugumba moja Kwa moja baada ya kutoa hiyo mimba.Ameeeeen
 
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 


Nani kawaambieni kutoa mimba ni kosa la mauaji??--- mnapata wapi huo uvumi??
 

Heaven Sent njoo huku kuna mtu anahitaji msaada wako urgently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…