Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Ngoja nikusaidie dada kwani watu wengi wanakutia hofu bure, hofu inayohusiana na "mauaji" na mimi sina haja ya sababu zinazokusukuma kwenda kutoa mimba, mimi nimeguswa na UVUMI kwamba kutoa mimba ni Mauaji.
Nasema hivi; kutoa mimba sio uuaji bali inawezekana ikawa ni kosa tu kama makosa mengine mbali na uuaji.
Kuua ni kutoa uhai wa kitu chenye uhai unaojitegemea, mfano kama utazaa mtoto na ukamuua hapo utakuwa umefanya mauaji na utakuwa na hatia mbele za Mungu na serikali.
Mtoto anapokuwa tumboni uhai wake sio wa kujitegemea bali ni uhai unaomtegemea mbeba mimba, ni mbeba mimba ndio mwenye sauti na power juu ya mimba iliyomo tumboni mwake hii ni sawa na mtu anakuwa na sauti na power na kiungo cha mwili wake, mfano mtu akiamua kukata kidole chake hapo kuna jinai au mauaji???, kidole ni sehemu ya mwili jinsi mimba ni sehemu ya mwili wa mbeba mimba na hata kuna wakati mimba hukaa vibaya tumboni ili kunusuru uhai wa mama Madaktari huamuru mimba hiyo itolewe na wala hawasemi kwamba hapo ni kufanya mauaji, mimba inapotolewa katika hali hiyo ni sawa na mtu mwenye kiungo chenye kansa na Madokta wakashauri kiungo hicho kikatwe.
Kuua ni kuondoa uhai wa kiumbe chenye uhai wake binafsi, uhai usiotegemea kiumbe mwingine, mimba haina uhai wake binafsi, mwenye sauti, amri na power juu ya mimba ni mbeba mimba.
Kutoa mimba sio kuua, kama kuna mtu anao ushahidi kutoka katika vitabu vya dini na aulete hapa.
Kutoa mimba bila sababu za msingi ni kosa kama makosa mengine lakini sio KOSA LA MAUAJI.