Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Wakuu I'm fed up with life

Nimechoka na haya maisha

Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block
Biashara zangu wame-block

Everything is down now.

Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako.

Maaumzi yangu nimechukua sasa

Naenda mbali na ndugu
Naenda mbali na familia
Naenda mashariki ya mbali

Nitakuwa natafuta hela na kula bata tu.

Sitomsaidia mtu yeyote anaitwa ndugu ,mzazi au mwanaukoo

Hawa wamehusika Kwa 90% kuniangusha Financially ,na kiroho.
 
Pole sana. Kuji-expose maisha yako kwa watu ni mbaya. Kuna wimbo unasema "kila kitu kimya kimya"
 
Wakuu I'm fed up with life

Nimechoka na haya maisha

Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block
Biashara zangu wame-block

Everything is down now.

Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako.

Maaumzi yangu nimechukua sasa

Naenda mbali na ndugu
Naenda mbali na familia
Naenda mashariki ya mbali

Nitakuwa natafuta hela na kula bata tu.

Sitomsaidia mtu yeyote anaitwa ndugu ,mzazi au mwanaukoo

Hawa wamehusika Kwa 90% kuniangusha Financially ,na kiroho.
Umechelewq kulijua hilo... bado utatenganishwa na vingi vizuri even the one you loves kama mm na Lamomy
 
Pole sana mkuu!

Ila unavyoenda mashariki sijui wapi una watoto wa umri gani? Je mawasiliano ukiwa huko itakuwa vipi?

Hata wazazi kwann usiwasaidie ?

Kibaya ni kutokuishi kwenye mipaka yako! Na kutunza Siri zako!

Tambua hili mbali na kuzaliwa ndugu ama kuwa na wazazi ukitoa huo uhusiano Kuna kitu inaitwa binadamu...

wanakuwa na tabia za kibinadamu kama wizi, uchoyo wivu, roho mbaya regarding na uhusiano ulio nao kwao,

Ukiweza elewa Hilo utajua namna ya kuishi na kila mmoja vizuri,

waelewe ndugu zako, wazazi wako, jua kusema hapana au Nina hiki kidogo

Mkizaliwa ndugu haimaanishi msishirikiane au kusaidiana hapana lakini mkifikia hatua ya kuwa kila mtu na maisha yake hakuna atakayetaka kuwa chini, kama mna familia kila mmoja ataipambania familia yake!

waelewe watu wako, wasamehe walipokukosea, achilia visasi, anza upya!

Ipende familia yako ndo kimbilio Bora na imara wakati wote, wapende wazazi wako maake inaonyesha wewe ndiyo chanzo Cha wao kukuzoea kupitiliza
 
Sasa hilo bata utakulaje lishuke bila furaha ya watoto wako na mama yao?
 
Ndugu ni gundu
Pole mkuu ni bora umeligundua hilo kabla hujakata tamaa kabisa.
 
Back
Top Bottom