paka chongo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 248
- 193
Kaka , ningemjibu hapa ila haina maana kwakua naelewa binadamu tulivo.una kazi ya kujibu hapa aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah vile najikuta nacheka tu mie na majibu yako Putin.AYA SASA MIMI PUTIN NASEMA.
MTOA MADA HAJAKOSEA
NIMWANAMKE WA KITAMBO HUMU JF.
HAKUPENDA KUANDIKA KWA ID YAKE ALOIZOEA .
AKATUMIA ID HII .
sasa mbwembwe zenu nyingine zote , achaneni nazo, Mkiandikwa nyie ni poaa, akiandikwa Putin ni nongwa
Nakwakua kaandika kwa ajili ya Putin , wachen Putin ndio ahusike..
Wala msitegemee km nitakaa nimjibu vibaya hapa ... Najua madhara yake .
mmmh aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah vile napata raha mie na majibu yako Putin.
Huu ndio ukweli unaousema sasa huwezi mjibu mtu vibaya sababu huwa kuna madhara kama usemavyo.
Haya mie napita tu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu mimi wala sina tatizo ila nilimquote jamaa aliyeonyesha wasiwasi kuhusu mwanzisha uziDuuuhh Waungwana , msiww hivo mara moja moja ,nikikumbukwa basi isiwe nongwa mkuu.
Mtoa mada anasema ,alikua ananiogopa ,nikweli huenda ilo ndo likamfanya aogope PM . Ukizingatia mimi huwa sitaki mwanamke aniPM habar za mapenzi.
kwakufanya hivi, nambele ya watu, unategemea nini,?? Nimjibu ovyo?? HAIWEZ TOKEA.
Nini tena kaka ake mbona umeguna?mmmh aisee
confusedNini tena kaka ake mbona umeguna?
Nini kinasababisha?confused
Afu ukaamka usingizini ukajifuta vumbi yulee ukaenda prepoMimi kipindi nipo kidato cha 5, secondary fulani. Nikiwa nimekaa chini ya mti, akaja mdada niliyesoma nae darasa moja. Baada ya salamu akaniambia "kibuyu nakupenda Sana, napata hisia kali sana za mapenzi kila nikikuona, naomba uwe radhi kusex na mimi... "
Aliniambia huku machozi yanamtoka. Nilimpangusa machozi kisha nikamvutia kwangu nikamkumbatia.
Mwanamke kumtamkia mwanaume kuwa anampenda si uhuni wala dhambi
Eeehh mkuu ujue kusema kweli kila mwanamme anataman apendwe .Hongera kwa kupendwa kiongozi
Si bureeKwa mara ya kwanza tokea nizaliwe miaka 40 iliyopita leo ndiyo nimeona mwanamke akimtongoza mwanaume!![emoji30][emoji30][emoji30]
Weee mkuu umemuelewa mtoa mada sana sana.Mimi kipindi nipo kidato cha 5, secondary fulani. Nikiwa nimekaa chini ya mti, akaja mdada niliyesoma nae darasa moja. Baada ya salamu akaniambia "kibuyu nakupenda Sana, napata hisia kali sana za mapenzi kila nikikuona, naomba uwe radhi kusex na mimi... "
Aliniambia huku machozi yanamtoka. Nilimpangusa machozi kisha nikamvutia kwangu nikamkumbatia.
Mwanamke kumtamkia mwanaume kuwa anampenda si uhuni wala dhambi