Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
AYA SASA MIMI PUTIN NASEMA.

MTOA MADA HAJAKOSEA

NIMWANAMKE WA KITAMBO HUMU JF.

HAKUPENDA KUANDIKA KWA ID YAKE ALOIZOEA .

AKATUMIA ID HII .

sasa mbwembwe zenu nyingine zote , achaneni nazo, Mkiandikwa nyie ni poaa, akiandikwa Putin ni nongwa

Nakwakua kaandika kwa ajili ya Putin , wachen Putin ndio ahusike..

Wala msitegemee km nitakaa nimjibu vibaya hapa ... Najua madhara yake .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah vile najikuta nacheka tu mie na majibu yako Putin.

Huu ndio ukweli unaousema sasa huwezi mjibu mtu vibaya sababu huwa kuna madhara kama usemavyo.

Haya mie napita tu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah vile napata raha mie na majibu yako Putin.

Huu ndio ukweli unaousema sasa huwezi mjibu mtu vibaya sababu huwa kuna madhara kama usemavyo.

Haya mie napita tu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
mmmh aisee
 
Duuuhh Waungwana , msiww hivo mara moja moja ,nikikumbukwa basi isiwe nongwa mkuu.

Mtoa mada anasema ,alikua ananiogopa ,nikweli huenda ilo ndo likamfanya aogope PM . Ukizingatia mimi huwa sitaki mwanamke aniPM habar za mapenzi.

kwakufanya hivi, nambele ya watu, unategemea nini,?? Nimjibu ovyo?? HAIWEZ TOKEA.
Mkuu mimi wala sina tatizo ila nilimquote jamaa aliyeonyesha wasiwasi kuhusu mwanzisha uzi

Hongera kwa kupendwa kiongozi
 
Mimi kipindi nipo kidato cha 5, secondary fulani. Nikiwa nimekaa chini ya mti, akaja mdada niliyesoma nae darasa moja. Baada ya salamu akaniambia "kibuyu nakupenda Sana, napata hisia kali sana za mapenzi kila nikikuona, naomba uwe radhi kusex na mimi... "
Aliniambia huku machozi yanamtoka. Nilimpangusa machozi kisha nikamvutia kwangu nikamkumbatia.

Mwanamke kumtamkia mwanaume kuwa anampenda si uhuni wala dhambi
 
Afu ukaamka usingizini ukajifuta vumbi yulee ukaenda prepo
 
Kama ni Kweli inaudhi, ila kuna mtu nitamfungukia humu maana nimemfeel hatari
 
Mimi kipindi nipo kidato cha 5, secondary fulani. Nikiwa nimekaa chini ya mti, akaja mdada niliyesoma nae darasa moja. Baada ya salamu akaniambia "kibuyu nakupenda Sana, napata hisia kali sana za mapenzi kila nikikuona, naomba uwe radhi kusex na mimi... "
Aliniambia huku machozi yanamtoka. Nilimpangusa machozi kisha nikamvutia kwangu nikamkumbatia.

Mwanamke kumtamkia mwanaume kuwa anampenda si uhuni wala dhambi
Weee mkuu umemuelewa mtoa mada sana sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom