Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
toxic9

Sikia bro , nje ya JF , wanawake wananipenda mnoooo ndio maana huwa humu sipapatiii mtu ovyooo kwasababu najua ,nje ya JF mpaka nawakimbia mimi.

Baba yangu alinambia, usikae kuwafukuzia wanawake, bali jipe thaman alafu wao ndo watakufukuzia.

Sasa basi kua Mwanamme, na uwalazimishe wakupende ,utaona wanakutamkia.

HATA IVO UKIMWI UPO NA UNAUA, SO ITA UP TO YOU, KILA ANAYEKUJA MBELE YAKO UPITE NAYE ILI UPUNGUZE SIKU ZAKUISHI AU UTULIE NAKUA KM ULIVYO.

Nadhan umenielewa , ... Mwanamke hatongozwi, mwanamke mnatongozana.
 
hahahhahahaha Vlad mwenyeweeee
haya bhana labda na wewe unatongozwa eti eeeeh


teh teh kidding bhana
 
Ukute mdoa mada mwanaume, hapo ndo utaimba wimbo wa nibebe nibebe
 
#BLIND_DATE.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…