Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahh ila watu ...Vladimir mwenyewe watu wanampenda sana seuze huyu wa hapa Bongo utakuta ni mwanachuo ha ha haaa ukibom umekwisha
Huenda ukawa umeona mbali..ujue Jina nalo ,linachangia changia izi mambo[emoji23]Hz ID za marais ndo shida na mm nachange itakuwa BARACK OBAMA
Bora wee umemjulisha mapema..asije akijikuta anapenda pepo[emoji23]Juzi tuu kua member ushaanza kupenda penda utapend mapepo
hahahhahahaha Vlad mwenyeweeeeSikia bro , nje ya JF , wanawake wananipenda mnoooo ndio maana huwa humu sipapatiii mtu ovyooo kwasababu najua ,nje ya JF mpaka nawakimbia mimi.
Baba yangu alinambia, usikae kuwafukuzia wanawake, bali jipe thaman alafu wao ndo watakufukuzia.
Sasa basi kua Mwanamme, na uwalazimishe wakupende ,utaona wanakutamkia.
HATA IVO UKIMWI UPO NA UNAUA, SO ITA UP TO YOU, KILA ANAYEKUJA MBELE YAKO UPITE NAYE ILI UPUNGUZE SIKU ZAKUISHI AU UTULIE NAKUA KM ULIVYO.
Nadhan umenielewa , ... Mwanamke hatongozwi, mwanamke mnatongozana.
Ukute mdoa mada mwanaume, hapo ndo utaimba wimbo wa nibebe nibebeJaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.
Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea kukupenda sana, hisia nilizo nazo siwezi zielezea hapa na sikuwah kua nahisia kama hizi,Vlad nakupenda Baba, nmekua naogopa kukuanza nikihofia utakuja Kunishushua humu ila sina jinsi nmefikia ukomo wa uvumilivu na uoga . Nisaidieni kumfikishia ujumbe .
Samahani kwa wote niliowaudhi kwa uzi huu, sasa najisikia Roho kutulia ,hisia za mapenzi jaman mziache tu ,kitu kinakereketa rohon kama vile mjamzito na kichefu chefu.
Behav sio kweli.Mbona kawaidaKwa mara ya kwanza tokea nizaliwe miaka 40 iliyopita leo ndiyo nimeona mwanamke akimtongoza mwanaume!![emoji30][emoji30][emoji30]
#BLIND_DATE.Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.
Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea kukupenda sana, hisia nilizo nazo siwezi zielezea hapa na sikuwah kua nahisia kama hizi,Vlad nakupenda Baba, nmekua naogopa kukuanza nikihofia utakuja Kunishushua humu ila sina jinsi nmefikia ukomo wa uvumilivu na uoga . Nisaidieni kumfikishia ujumbe .
Samahani kwa wote niliowaudhi kwa uzi huu, sasa najisikia Roho kutulia ,hisia za mapenzi jaman mziache tu ,kitu kinakereketa rohon kama vile mjamzito na kichefu chefu.
Umepotea sana mpendwa ,uko wapi ?hahahhahahaha Vlad mwenyeweeee
haya bhana labda na wewe unatongozwa eti eeeeh
teh teh kidding bhana
Mtu wangu nipo ,nimefurah kukuona , mtoto kamwagika na niseme kamwagika katika wakati husika.Vlad mtu wangu upo..? Mtoto kamwagika mwenyewe kazi kwako mkuu?
Ahaaaa mwombeki, Haikuwa ndoto Kaka ni ukweli mtupuAfu ukaamka usingizini ukajifuta vumbi yulee ukaenda prepo