Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahaha kwakweli ,usijali wee nitakupatiaaaaa kuleeeeee.Wanakuonea wivu
wanawake tupo ili tukulwe shida iko wapi kuna wengine mpk wanaota mvi hawajawahi kutongozwa
Naishia hapo tafadhali utanipata kuleeeeeeeeeeeeee
Alafu upunguze kunitenga, Ndugu yangu mpaka akuambie ,ndo unikumbuke hashhaha