Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahaha kwakweli ,usijali wee nitakupatiaaaaa kuleeeeee.Wanakuonea wivu
wanawake tupo ili tukulwe shida iko wapi kuna wengine mpk wanaota mvi hawajawahi kutongozwa
Naishia hapo tafadhali utanipata kuleeeeeeeeeeeeee
Nakutafuta kwa udi na uvumba
Natamani nimjue aliyekufanya unisahau malkia wako kapeace
Kuroga sio mpaka upae na ungo hata roho mbaya ya chuki ni uchawiHahahaha kwakweli ,usijali wee nitakupatiaaaaa kuleeeeee.
Alafu upunguze kunitenga, Ndugu yangu mpaka akuambie ,ndo unikumbuke hashhaha
Kwangu ni zaidi ya mwezi ungejua navyokupenda usingenifanyia hivyoHuu mwezi mmoja tuliokuwa wote mama nijuzi tu mbona
KapeaceWanakuonea wivu
wanawake tupo ili tukulwe shida iko wapi kuna wengine mpk wanaota mvi hawajawahi kutongozwa
Naishia hapo tafadhali utanipata kuleeeeeeeeeeeeee
AbeeKapeace
Karibu tena aiseee.Abee
Kwangu ni zaidi ya mwezi ungejua navyokupenda usingenifanyia hivyo
Huamini km nakupenda au unataka nikuandikie uzi kabisa?Du aiseee!!
Asante sana miss youKaribu tena aiseee.
Huamini km nakupenda au unataka nikuandikie uzi kabisa?
Miss u sana uliniweka roho juu hadi naanzisha nyuzi kukusaka aiseeeAsante sana miss you
Nitawasha taa usiogopeHapana naona giza
Hahahah wee maneno yako yanamaana sanaaa hahahahaKuroga sio mpaka upae na ungo hata roho mbaya ya chuki ni uchawi
Komaa na huyo princess
hawa wengine waone km kinyesi tu ukumbuke wengi humu ni wachawi ati
Nimepatikana usiogopeMiss u sana uliniweka roho juu hadi naanzisha nyuzi kukusaka aiseee
Nikitulia nitakusaka PM.Nimepatikana usiogope
Poa poaNikitulia nitakusaka PM.
Nitawasha taa usiogope
Katika wanaume wote nimekuona wewe halafu unaogopa tena njoo pm kuna ujumbe wakoTaa haiwezi kufukuza nzi Mimi kuleeee sikuwezi
Katika wanaume wote nimekuona wewe halafu unaogopa tena njoo pm kuna ujumbe wako