Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri ifike 30 kiongozi25 kwa sasa
Umri bado zuga zuga kwanza hapo kwenye dating pool uongeze uzoefu mpaka ukiingia 30 hivi.25 kwa sasa
Bado sana, endelea kukomaa kimwili, kiuchumi na kiakili..25 kwa sasa
Unakimbilia wapi familiaa25 kwa sasa
Nioe nikiwa na ngapi?Umri bado zuga zuga kwanza hapo kwenye dating pool uongeze uzoefu mpaka ukiingia 30 hivi.
Mambo ya kuzingatia kwa sasa
1. Focus iwe kwenye kuongeza thamani yako
2. Usitumie nguvu, muda, rasilimali/pesa kumuhudumia mwanamke au kujenga mahusiano
3. Jichunge sana kwa kipindi hiki usimpe mimba mwanamke.
Anza mengine utajifunza along the wayKwa mtizamo wangu najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu 😎
Lakini nikiangalia upande wa misimamo ya kama Baba wa familia najiona sina .Ati nifanyaje ili nioe ?