Oa mkuu kama kuna kitu kinanipa stress ni kuchelewa kuoa. Nna mtoto nilimpata nikiwa 25, ila hadi sasa sijaoa na ni above 34 sasa nawaza nikioa si nitalea hadi nmestaafuWewe endelea kujaza watu utumbo ndo nyie wasomi na mliotoka kwenye familia za unga unga mwana ,mnashauri watu wasioe mapema.
Unataka mwanangu wa 2 aniite babu???