Najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu. Lakini misimamo ya kuwa baba najiona sina

Najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu. Lakini misimamo ya kuwa baba najiona sina

Jijenge kwanza ili mtoto wa watu asiteseke pili ni rahisi kukimbiza maendeleo kabla haujoa.
Tatu ukitaka furaha ya ndoa oa kulingana na nyota yako hili jambo watu upuuzia.Nyota, number,herufi zina mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu eneo la ndoa,amani, furaha, mafanikio nk
 
Back
Top Bottom