Oa mkuu kama kuna kitu kinanipa stress ni kuchelewa kuoa. Nna mtoto nilimpata nikiwa 25, ila hadi sasa sijaoa na ni above 34 sasa nawaza nikioa si nitalea hadi nmestaafuWewe endelea kujaza watu utumbo ndo nyie wasomi na mliotoka kwenye familia za unga unga mwana ,mnashauri watu wasioe mapema.
Unataka mwanangu wa 2 aniite babu???
si unaona bado hauko tayari baba, maana yake umri wako badoMiaka ni mingi dogo
Hapana umri wake ni sahihiisi unaona bado hauko tayari baba, maana yake umri wako bado
hajakomaa vizuriHapana umri wake ni sahihii
Sasa kiongozi si uoe tu pia single mama tupoOa mkuu kama kuna kitu kinanipa stress ni kuchelewa kuoa. Nna mtoto nilimpata nikiwa 25, ila hadi sasa sijaoa na ni above 34 sasa nawaza nikioa si nitalea hadi nmestaafu
You're very unexperienced young boy, fanya kama bado upoupo tu, time will come, utawakimbia25 kwa sasa
Kila baba alee mwanaye tafadhali πππSasa kiongozi si uoe tu pia single mama tupo
Kwan umeambiwa unakabidhiwa πΉπΉKila baba alee mwanaye tafadhali πππ
Vise versa is true.Kwa mtizamo wangu najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu π
Lakini nikiangalia upande wa misimamo ya kama Baba wa familia najiona sina .Ati nifanyaje ili nioe ?
Hapana tafadhali. Ukikaa na mtoto wa mtu njiandae kwa malezi huku yeye akila raha tu akisubiri kuitwa baba. Namshukuru aliyemuoa mzazi mwenzangu alimweka wazi mtoto wa mwanaume mwenzangu mpelekee akae naye, nikaletewa mtoto ana miaka 4 now ana kumi nalea mwenywe.Kwan umeambiwa unakabidhiwa πΉπΉ
Sawa proud dad na mm wangu ntampeleka Kwa baba akeHapana tafadhali. Ukikaa na mtoto wa mtu njiandae kwa malezi huku yeye akila raha tu akisubiri kuitwa baba. Namshukuru aliyemuoa mzazi mwenzangu alimweka wazi mtoto wa mwanaume mwenzangu mpelekee akae naye, nikaletewa mtoto ana miaka 4 now ana kumi nalea mwenywe.
We tunajua kuwa umeolewa kwenye thread fulani niliona wasemaSawa proud dad na mm wangu ntampeleka Kwa baba ake
Jaman naomba nioneshe nione maan na husbands wengine umuπΉπΉWe tunajua kuwa umeolewa kwenye thread fulani niliona wasema