Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

Mkuu naomba msaada wako nifike japo hapo Nairobi niendelee kupambana na haya maisha.
 
Ni mshahara wa mwezi mkuu but huwa Wanagharamia mahitaji yote Mfano malazi chakula na Nauli Nk pia hawakati Kodi unapokea pesa yako yote.
Mkuu natumaini unaweza kuwa msaada kwangu.
 
Mkuu Teknologist naomba msaada wako katika hili.
 
Blood kikubwa kwa uzima na wa kwanza Mungu wewe kama umeamua kwenda kutafuta nenda ndugu yangu huenda ndo riziki yako ipo huko god bless you ndugu yangu
 
Ingekua kwenda ni rahis hivvyo bas vijana weng wangeshachepuka

Wazungu wameweka mazingira magum ya kwenda kwao..hawatak shida wao..so ujipange...had kupata hyo ruhusa utasugua sana ubalozi

Sikuhiz si kama zaman..unless una connection ya hatar
 
nyie wote Ni mazwazwa hamna lolote.
 
K.ma Bako umeeenda kuwaaamba Mods watoe madole ya mduku niliyokupa
Zee SΒ£nge mavi...
Unajaza JF thread na stori za vijiwe vya machoko kwamba umefika kila nchi kenge wewe hata passport huijui fwamba kabisa
🀣🀣🀣
 
Mwache ajiongopee tu, mie nina ndugu wa damu ana struggle kupata papers mwaka wa 5 huu
 
Hujawahi kwenda popote , unababaisha na vijina ya maeneo kadhaa na kuungaunga stori
Hizi taarabu zako za mipasho peleka vijiweni....
Unafundisha nini Taarabu iko huku au.....Futile.....
Kama mipasho jamaa anayo. Anavyojielezea na elimu yake nadhani asengevumilia kukujibu kistaarabu.
Pia kisomi na ni mtu anayesafiiri ivyo amejifunza vingi sana
 
Mpotezee tu,
 
Hiyo mishahara ni bora uuze chips Bongo unaweza kupata hata mil moja kwa mwezi
 
Faza kumbe ni mzee umseshastaafu dah kweli hata wahuni wanazeeka
 
Kila la heri, ukifika unitafutie kazi ya kuzibua vyoo, nasikia inalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…