Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa kila aina hivyo basi nategemea once nitakavyo leta swala langu kwa ajiri ya ushauli ni furaha yangu ntapata comments za kujenga.

Kubwa kabisa mpaka naandika hii issue ni juu ya mimi kutaka kwenda nchini Canada kwa lengo la kutafuta maisha naamini mimi ni kijana ambaye bado nguvu ninazo na changamoto ni sehemu ya maisha.

Hivyo basi natamani kwenda Canada kwa ajiri ya kuangalia upande mwingine wa shillings then nirudi nchini kwetu kwa ajiri ya kusapotiana na vijana wenzangu, sio kwamba huku hakuna fursa lahasha zipo ila kwangu naona kama mungu hajanijaria hivyo nahitaji ku jaribu upande mwingini.

Ahsanteni na samahi kwa usumbufu
Mkuu naomba msaada wako nifike japo hapo Nairobi niendelee kupambana na haya maisha.
 
Ni mshahara wa mwezi mkuu but huwa Wanagharamia mahitaji yote Mfano malazi chakula na Nauli Nk pia hawakati Kodi unapokea pesa yako yote.
Mkuu natumaini unaweza kuwa msaada kwangu.
 
What a loads of bollocks...
Usiletuletee shobo za wakati ule mimi niliishi ilikuwa hivi na hivi...
Unaongea utopolo mtupu , mara stori za wakati wa baridi inahusiana nini, ni kama vile umesoma sehemu au umepigiwa stori.......
Na hata kama uliwahi kufika ni itakuwa kwa mbio za mwenge, na uwoga mwingi unakuja kutisha watu wanataka kujaribu kivyao.,,
Na mimi huko ninaenda every now and then na siongelei wakati ule ninaishi huko, na muda ninaokujibu niko na ninaishi nje ya bongo Thursday, 2 September 2021 (BST)......dadavua BST???? .

Na kila nikikutana na posti kama hii ya mtu anataka ushauri, nitampa moyo na kumhamasisha kwa sana akajaribu maisha popote nje ya bongo
Badala ya kumtisha kutokana na uwoga na uzwazwa kushindwa kujichanganya na kung'amua jinsi ya kuishi nje ya bongo.
Mkuu Teknologist naomba msaada wako katika hili.
 
Blood kikubwa kwa uzima na wa kwanza Mungu wewe kama umeamua kwenda kutafuta nenda ndugu yangu huenda ndo riziki yako ipo huko god bless you ndugu yangu
 
Ingekua kwenda ni rahis hivvyo bas vijana weng wangeshachepuka

Wazungu wameweka mazingira magum ya kwenda kwao..hawatak shida wao..so ujipange...had kupata hyo ruhusa utasugua sana ubalozi

Sikuhiz si kama zaman..unless una connection ya hatar
 
Ni rahisi sana kumaliza hizi stori zako za vijiwe vya machoko..
Toa hiyo passport yako tuone hizo viza za nchi unazoota ulikwenda kufukunyuliwa tope...
Weka hapa hizo picha sasa hivi....
View attachment 1924081

Ili next time watu wakitoa ushauri kwa mtu anayehitaji kuhusu kuondokana na vumbi...
Choko kama wewe unatakiwa ujitie dole ili kuzuia domo lako kutapika utopolo....
nyie wote Ni mazwazwa hamna lolote.
 
K.ma Bako umeeenda kuwaaamba Mods watoe madole ya mduku niliyokupa
Zee S£nge mavi...
Unajaza JF thread na stori za vijiwe vya machoko kwamba umefika kila nchi kenge wewe hata passport huijui fwamba kabisa
🤣🤣🤣
 
Maskini hujui unachoongea. Huo unaoona kama ucheshi, kwa wenzio si chochote wala lolote. Nadhani kama utafanya utafiti mdogo, Kanada kwa sasa inapunguza idadi ya watu wanaoingia na kukaa mle. Kumbuka waswahili wengi walioko Marekani wanakimbilia Kanada hasa wakati wa msimu wa baridi.

Kusema nimeishi huko virtually ni kutojua maana ya neno utumialo. Kwani, ni heri lawama ya mwenye busara kuliko wimbo wa sifa wa mpumbavu. Mie nimetoka uzoefu wangu. Si vibaya kupingana nao au kukubaliana nao. Huo ndiyo ukweli hata kama haukukupendeza.
Mwache ajiongopee tu, mie nina ndugu wa damu ana struggle kupata papers mwaka wa 5 huu
 
Hujawahi kwenda popote , unababaisha na vijina ya maeneo kadhaa na kuungaunga stori
Hizi taarabu zako za mipasho peleka vijiweni....
Unafundisha nini Taarabu iko huku au.....Futile.....
Kama mipasho jamaa anayo. Anavyojielezea na elimu yake nadhani asengevumilia kukujibu kistaarabu.
Pia kisomi na ni mtu anayesafiiri ivyo amejifunza vingi sana
 
Hana chochote choko huyo, na kakutana na mimi alidhania nimuacha na matusi yake, badala yeye kunijibu kistaarabu, kajibu matusi , fuatilia majibu yake nyuma nani kaaza kutukanana, hapa amefika
hana usomi wowote kajaza JF na utopolo wa vijiweni,

Hii ndio english ya msomi? hii ndio english anayoenda kufundishia nchi za wazungu? kanya boya huyu
"the decolonisation of the minds based on the revisitation of African History by negating the one the colonizers miswrote, misconstrued and misrepresented"
Mpotezee tu,
 
Mkuu Hizi nchi za Wazungu Mara nyingi sio Nzuri Kwenda bila kuwa na mwenyeji (kujaribu maisha)

Hata Ukiwa na mwenyeji kwa Mara ya kwanza Unaweza kubahatisha ukaenda lakini Mara nyingi lazima upitie Tabu kidogo

Wengi wamekuwa wakienda kwa kuungaunga mfano mtu anaenda Germany Basi Ataenda Belgium Kisha ndio aungeunge kuingia Germany kwa Treni au Bus pia na nchi nyingine nyingi kubwa Huwa hivyo hivyo mlolongo Wake ni mrefu

Nakushauri Kama umejipanga Nenda Meddle East Kama Dubai au Qatar Angalau Ufanye Kazi Huko hata kwa mwaka mmoja tu

Huko utapata connection ya kuingia huko kwa Wazungu

Bila Hivyo unaweza ishia Uwanja Wa ndege Ukabaki kujutia Gharama Zako

Alafu pia Kwenda Dubai ni rahisi kwasasa hata gharama sio kubwa pamoja na Visit Visa yake ya 30 days inapatikana kirahisi sana

Ukiwa na 2milion inaweza tosha kabisa kukufikisha Dubai na ukapata pesa ya kuishi Dubai bila kazi kati ya siku kumi mpaka 15 kama Ukiwa na mwenyeji

Dubai kazi Ni uhakika kwa 90% Labda uamue tu kuchagua na Pia mshahara Sio mdogo kiwango cha chini kabisa hucheza Kati ya laki 4 au 5 Ila mishahara mingi zaidi Ni kuanzia laki 7 na kuendelea na Hawakati Kodi yoyote unapokea pesa yako kamili..
Hiyo mishahara ni bora uuze chips Bongo unaweza kupata hata mil moja kwa mwezi
 
Kwani kutoka nje dili kumbaff wewe? Heri mie ambaye nimeridhika na nyumbani kuliko vuta bangi kama wewe unayeotea majuu wakati ukiendelea kunuka mavi. Endelea kujidanganya. Mwenzio nilikwenda kule kusoma siyo kuzamia. Nimesomea Uingereza Hull University na pia McMaster nikarejea home na kufanya kazi nzuri na kustaafu. Na sasa natalii nje kama unavyoona naandika wakati nyumbani wamelala. Niko natalii kwa kufundisha siyo kutumia fedha yangu bali akili
Faza kumbe ni mzee umseshastaafu dah kweli hata wahuni wanazeeka
 
Kila la heri, ukifika unitafutie kazi ya kuzibua vyoo, nasikia inalipa.
 
Back
Top Bottom