What a loads of bollocks...
Usiletuletee shobo za wakati ule mimi niliishi ilikuwa hivi na hivi...
Unaongea utopolo mtupu , mara stori za wakati wa baridi inahusiana nini, ni kama vile umesoma sehemu au umepigiwa stori.......
Na hata kama uliwahi kufika ni itakuwa kwa mbio za mwenge, na uwoga mwingi unakuja kutisha watu wanataka kujaribu kivyao.,,
Na mimi huko ninaenda every now and then na siongelei wakati ule ninaishi huko, na muda ninaokujibu niko na ninaishi nje ya bongo Thursday, 2 September 2021 (BST)......dadavua BST???? .
Na kila nikikutana na posti kama hii ya mtu anataka ushauri, nitampa moyo na kumhamasisha kwa sana akajaribu maisha popote nje ya bongo
Badala ya kumtisha kutokana na uwoga na uzwazwa kushindwa kujichanganya na kung'amua jinsi ya kuishi nje ya bongo.