Najipendekeza au niachane nae

Najipendekeza au niachane nae

Soma huu uzi wake labda utamuelewa🤣

Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza... Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa
Baaaaaaaasi tatizo lake nishaanza kulijua, inawezekana ni mwanachama mtiifu wa chama cha dronedrake
 
Mimi sielew siku hizi ninashida gani yani madem wanajigonga wenyewe na sihongi wala nini nikipiga simu moja tu huyu hapa gheto kwa nauli yake. Yani natamani nikumbane na vichwa kama vya huyu dem wa mtoa mada nimuonyeshe kazi.
For real mimi kama ningeweza kutoa hisia basi jingetamani niwe single milele maana sina moyo mgumu
 
Back
Top Bottom