Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Baaaaaaaasi tatizo lake nishaanza kulijua, inawezekana ni mwanachama mtiifu wa chama cha dronedrakeSoma huu uzi wake labda utamuelewa🤣
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru
Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza... Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa