MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Habari ndugu wana JF.
Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli.
Niende kwenye mada, leo nimekuja mbele yenu kujigamba kwa kujiamini kabisa kwamba sasa mimi nimekuwa kijana mkamilifu, kijana shupavu, kijana anayejielewa ama niseme kijana wa kuigwa.
Ipo hivi, mimi nimepitia kile kipindi cha ujana wa kuwa na utaratibu au ushamba wa kupiga piga mbususu. Mbususu za aina tofauti tofauti, mbususu changa yenye umri 16-20, 20-25 na 25-35 yani nimepiga mihuli videnti, agemates na mishangazi.
Tangu nianze kuchaka mbususu yani gusa achia twende lodge sijawahi pata faida yoyote na namshukuru Mungu kwa kuniokoa na madhara hasi hasa magonjwa za zinaa including HIV.
Sasa toka mwezi wa pili mwaka huu siku moja nikakaa nikajifikiria hivi hizi mbususu mbna nazichakata na sipati faida yoyote zaidi ya kupoteza muda na pesa wakati mwingine na hata kuchagua nyota yangu. Sasa wakati najifikiria ikaingia mesej ya mshangaz mmoja ni clinical officer hosii flani, mesej ikawa inasomeka "nina genye sana baby upo wapi ?"
Hapa nikajisemea kazi bado ipo sheitwani bado anakabia juu na beki zake za pembeni zinapanda na kushuka kwa haraka sana yani kifupi mashambulizi ni makali.
Nikajisemea basi leo naenda kumpiga ya mwisho nikaenda nikajiramba nikajikia vyangu.
Baada ya hapo nilijilaumu sana japo sikuingia gharama maana yule mshangazi alilipia lodge aliyokuwa anahitaji nikamdinyieko. Nilijilaumu kwasabab nilienda kinyume na msimamo wangu. Baada ya hapo nikajiapiza kufuta namba za mishangazi, na madem wote ambao naona hawapo katika mipango wangu ya msimu mpya katika maisha yangu.
Baada ya hapo nikaanza rasmi mazoezi ya mpira na kukimbia.
Nikapanga ratiba zangu za siku na wiki nzima, nikatafuta vitabu mbali mbali ambavyo nilijua kabisa vitanisaidia kusogeza muda katika nyakati ambazo nitakuwa free. Lakini pia nilidownload movies nyingi sana nikaweka kwenye PC nikawa na ratiba tight sana.
Kipindi kigumu zaidi ya vipindi vyote kwenye maisha yangu kikaanza rasmi.
Nilichagua kubaki pekeangu nikaachana na madem wote na mishangazi kwasabab hata hivyo niliona ni muda wa kutafuta mchumba ili baadae nije nimuoe.
Safari mwanzoni ilikuwa ngumu sana tena sana kwasabab mesej zilikuwa ni nyingi calls za kutosha wakilaumu mbona nimebadilika ghafla nikawa nawadanganya kuwa nina mambo mengi sana yananivuruga na sitaki kushea na mtu yeyote kwasabab ni private issues.
Hali iliendelea hivo hivo, sasa leo hii nimeprove kwamba kama ni safari nipo nakaribia kuimaliza na niwe na mwanzo mpya katika maisha yangu.
Toka juzi kuna pisi mbili zilikuwa zinalazimisha sana nikazichakate moja imesepa leo jini kuelekea huko nyanda za juu kusini kuanza kazi katika taasisi moja kubwa tu, mwingine yupo hapa hapa mkoanj nilipo.
Hawa watu jamani wamejaribu kunishawishi Kwa kila njia lakini wamefeli yani hawakufanikiwa na wameishia kulaumi tu.
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu watoto wameutaka lakini mimi niwanyima. Mungu namshukuru sana kanibadilisha kutoka yule niliyekuwa natembeza chololoo kama ice cream za bakhresa mpka kukituliza na kukibakishia kazi moja tu ya kutokea mkono asee Mungu mkubwa.
VIJANA NAOMBENI MNIPE MAUA YANGU, MIMI NI SHUJAA.
ASANTE MUNGU 🙏🙏🙏