CHADEMA ya Lissu na Heche si wewe pakee inayemkosesha usingizi, ni maCCM yote hayalali!Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia.
View: https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia.
View: https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
Ni kweli sababu anazosema hapa zinatosha kabisa Heche kupewa kuiongoza nchi hii? Kwanza kuweza kumuelewa anachosema utahitaji uvute bange kwanza. Eti barabara za Tz hazipitiki nchi nzima, kote hakuna umeme nchi nzima, eti mjerumani kajenga reli kwa miaka tisa tu kwahiyo apewe yeye nchi aiongoze tuone maendeleo ya kasi ya mwanga. Kama hujavuta bange huwezi kukaa masaa yote kwenye mkutono wake kumsikiliza.CHADEMA ya Lissu na Heche si wewe pakee inayemkosesha usingizi, ni maCCM yote hayalali!
Nadhani suala sio kugawa nchi iwe kwa Heche au Lissu ila ishu ni kuwafanya wananchi wawena uwezo wa kuona nani awe kiongzi wao wenyewe.Ni kweli sababu anazosema hapa zinatosha kabisa Heche kupewa kuiongoza nchi hii? Kwanza kuweza kumuelewa anachosema utahitaji uvute bange kwanza. Eti barabara za Tz hazipitiki nchi nzima, kote hakuna umeme nchi nzima, eti mjerumani kajenga reli kwa miaka tisa tu kwahiyo apewe yeye nchi aiongoze tuone maendeleo ya kasi ya mwanga. Kama hujavuta bange huwezi kukaa masaa yote kwenye mkutono wake kumsikiliza.
Hapo Heche yuko Arusha. Ni kweli Heche macho yake hapo hayaoni shughuli yoyote ya maendeleo ya wananchi inayofanyika?.Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.
Unaamini huyo sio mtu wa ssm?Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.
Mwananchi akitaka kwenda kujinyonga tutamzuia asijinyonge na kumshitaki kwa kosa la kutaka kujinyonga.Nadhani suala sio kugawa nchi iwe kwa Heche au Lissu ila ishu ni kuwafanya wananchi wawena uwezo wa kuona nani awe kiongzi wao wenyewe.
Waendelee tu, inatusaidia kuiambia dunia kuwa tuna demokrasia pia.Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.