lonelygal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 208
- 166
Kwel mapenz yanauma,nimeona bora nije niseme humu labda moyo utapoa,niliyempenda kaniacha asee,
Nilimpenda kuliko chochote na nimemkosea mm,hata kupiga cm naogopa maana naweza kupiga nikakuta hapatikani ndo nikazid kuzidisha wenge,
Hapa hata Kazi haziendi.
Kazi kwelkwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Koba lee,inauma sana aisee,ila maadam umefunguka utakuwa na nafuu,jipe tu muda utakuwa sawa japo utapitia kipindi kigumu mno.pole ndiyo ukubwa huo next time utachukua tahadhari.