Najisikia Kama moyo kupasuka

Najisikia Kama moyo kupasuka

Kwel mapenz yanauma,nimeona bora nije niseme humu labda moyo utapoa,niliyempenda kaniacha asee,
Nilimpenda kuliko chochote na nimemkosea mm,hata kupiga cm naogopa maana naweza kupiga nikakuta hapatikani ndo nikazid kuzidisha wenge,
Hapa hata Kazi haziendi.
Kazi kwelkwel


Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana Koba lee,inauma sana aisee,ila maadam umefunguka utakuwa na nafuu,jipe tu muda utakuwa sawa japo utapitia kipindi kigumu mno.pole ndiyo ukubwa huo next time utachukua tahadhari.
 
Pole sana Koba lee,inauma sana aisee,ila maadam umefunguka utakuwa na nafuu,jipe tu muda utakuwa sawa japo utapitia kipindi kigumu mno.pole ndiyo ukubwa huo next time utachukua tahadhari.
Asante Sana lonelygal,mungu atanisaidia nitasahau japo kwa tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi.

Kuna waliopoteza Maisha kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wanaopoteza Muda wao Magerezani kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliopata Vilema vya kudumu kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliopoteza Ndugu zao kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna walioingia uhasama na Ndugu zao kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wasioongea na Wazazi wao wa kuwazaa kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliotia Hasara Mali za Watu kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wanaokosa Usingizi kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliolazwa mahospitalini kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wanaotapeli wenzao kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliopata Magonjwa Sugu kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna waliopatwa na Wazimu/Kurukwa na akili kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna ambao wanaoshindwa kuwasaidia Ndugu zao kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wanaoshindwa Kula kwa ajili ya Mapenzi.

Kuna wanaodhoofika Afya zao, na kuonekana kama ni Wagonjwa vile kwa ajili ya Mapenzi.

Orodha ni ndefu sana, na haitoweza kuisha/kumalizika.

Haya Mapenzi haya!
 
Back
Top Bottom