Kwel mapenz yanauma,nimeona bora nije niseme humu labda moyo utapoa,niliyempenda kaniacha asee,
Nilimpenda kuliko chochote na nimemkosea mm,hata kupiga cm naogopa maana naweza kupiga nikakuta hapatikani ndo nikazid kuzidisha wenge,
Hapa hata Kazi haziendi.
Kazi kwelkwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana lonelygal,mungu atanisaidia nitasahau japo kwa tabuPole sana Koba lee,inauma sana aisee,ila maadam umefunguka utakuwa na nafuu,jipe tu muda utakuwa sawa japo utapitia kipindi kigumu mno.pole ndiyo ukubwa huo next time utachukua tahadhari.
poa aseeh
UtajijuKwel mapenz yanauma,nimeona bora nije niseme humu labda moyo utapoa,niliyempenda kaniacha asee,
Nilimpenda kuliko chochote na nimemkosea mm,hata kupiga cm naogopa maana naweza kupiga nikakuta hapatikani ndo nikazid kuzidisha wenge,
Hapa hata Kazi haziendi.
Kazi kwelkwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapacha eeh...first to reply...avatar piaKuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu!!
Pole sana mkuu, yashinde maumivu na usonge mbele
[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15]Mapacha eeh...first to reply...avatar pia
Shukran brother,maneno yako yamenipa nguvuPole brother Ila kubali kushindwa uwe mshindani maisha yaendelee feelings hazigandi ,,,uchungu ukiisha utajishangaa kwanini ulimpenda ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ishu kubwa ila mwenzangu Ana hasira Sana,kantukana na maneno ya dharau juu,
Safi sana mkuu japo mwanzo itakutesa ila kadri mda unavyokwenda mambo yatakuwa sawa tu.Asante mkuu na unachosema ni kwel,najitahid Kazi isogee