Najisikia raha nikiitwa mume wangu! Kuoa raha

Najisikia raha nikiitwa mume wangu! Kuoa raha

Chagomoto inakuja pale mnapoanza kupata mtoto wa kwanza, hiyo moja pili kama mke wako aliwahi kutoka na mme wa mtu kabla ya ndoa. Lazima na wewe itafika wakati utagegeda papuchi ya mke wa mtu, ukishafikia hatua hiyo na mkeo lazima naye ataaza kuchepuka tena, hii ya pili ifanye kuwa visversa, ukashapita ya pili salama yatatu marafiki na mashoga zake,, hapo ukipita salama ya nne ni wachawi, watamroga hadi wamtomba tu. Amini nakuambia.
 
Mi ni mwanandoa mpyaaaaa

Aisee mwanamke akiniita mme wangu huwa najisikia amani ya nafsi.
Nyie oweni shauri yenu
Kuna wakati utafika ukiitwa "mume wangu" inaambatana na matusi makubwa makubwa na dharau za hali ya juu.. na hiyo ndiyo inaitwa kuvumilia shida ..sasa hivi upo kwenye raha..

Nb. Karibu kwenye ndoa jifunze na ukubali kwamba mkeo akipata mtoto upendo wake na akili yake uhamia kwa mtoto/ watoto. Wanawake ni kama watoto tuu Kikubwa tumia akili kuishi naye na kupuuza makelele yake, kamwe usimlipie mkeo kisasi, usionyeshe unampenda na hauwezi kuishi bila yeye utakufa mapema. Hekima na busara zikutawale jiamini na fanya mambo kwa uwezo wako uliojaliwa pia Mwombe Mungu ila ukisalitiwa na mkeo ( mkeo akiliwa nje na ukajua ila wewe ukawa siyo chanzo ) usimsamehe hata kidogo
 
Back
Top Bottom