Najisikia raha nikiitwa mume wangu! Kuoa raha

Najisikia raha nikiitwa mume wangu! Kuoa raha

Kuna wakati utafika ukiitwa "mume wangu" inaambatana na matusi makubwa makubwa na dharau za hali ya juu.. na hiyo ndiyo inaitwa kuvumilia shida ..sasa hivi upo kwenye raha..

Nb. Karibu kwenye ndoa jifunze na ukubali kwamba mkeo akipata mtoto upendo wake na akili yake uhamia kwa mtoto/ watoto. Wanawake ni kama watoto tuu Kikubwa tumia akili kuishi naye na kupuuza makelele yake, kamwe usimlipie mkeo kisasi, usionyeshe unampenda na hauwezi kuishi bila yeye utakufa mapema. Hekima na busara zikutawale jiamini na fanya mambo kwa uwezo wako uliojaliwa pia Mwombe Mungu ila ukisalitiwa na mkeo ( mkeo akiliwa nje na ukajua ila wewe ukawa siyo chanzo ) usimsamehe hata kidogo
mmmh
 
Siku ukianza kuitwa mkuu au kiongozi urudi tena hapa!
 
Utakapo anza kuitwa bro, kiongozi au mkuu uje tena utuambie kama ndoa tamu.
 
IMG_4827.jpeg
 
M ha wanapataga wajinga...mie nilishawajulia hawa watoto wanahitaji nini

Kijijini mtu mzima akitaka kula minor, huwa anajenga urafiki na baba mtoto na kumspoil sana baba mtoto kiasi kwamba anakabidhiwa mtoto akiwa mbichi..
 
Back
Top Bottom