Najisikia vibaya kutembea na mke wa mtu

Najisikia vibaya kutembea na mke wa mtu

Pole mtoto mzuri. Usirudie tena eeh sawa? Haya Nenda kwa Mangi akupe Kijoti mwambie Kaka ataleta Hela.

Usilale kwa watu siku nyingine tena ntakuchapa Mdogo wang Sam
Point sana
 
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.

Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi fikiria kuja kutembea na mke wa mtu, niliapa siwezi kamwe maana inakuwa siyo vizuri kufanya jambo hilo.

Lakini kuna bi dada mmoja hakika sijui ilikuwaje aisee, nikajikuta nimenasa kwa penzi lake, ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja sasahivi.

Dada mzuri, mrembo amejaaliwa, nikajikuta namvutia uzi chap bila kujali kama ana mume. Nikikaza kamba mwisho wa siku akanielewa, na siku hiyo ya kumnyandua, aliniita kwake nyumbani wakati mume amesafiri.

Nikala tunda mpaka asubuhi, niliwahi sana kuamka siku hiyo. Saa kumi usiku nikatoka maeneo yale, sasa baada ya kumaliza tendo lile hakika nilijisikia vibaya sana kwa kufanya vile.

1. Nimemla mke wa mtu ni mtamu sana lakini namkosea mwanaume wake, maana amekaa huko kupambana ili mke na mtoto wale, halafu mimi ndiyo nipo kuwala, siyo jambo jema.

2. Nimeona kama nahatarisha maisha yangu maana mapenzi ni ya maficho, sana.

NB: Vijana wenzangu tuache kutembea na wake za watu ni dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. Sijapenda, sina amani kabisa ndani ya moyo wangu, naumia kwanini nimefanya hivi.

Na bi dada sasahivi ameniganda turudie tena eti amenimis, nawaza hivi hauwezi kuwa mtego kweli nikanaswa, sina majibu. mimi ninafanya shughuli flan, bi dada akija asiponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.

Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.
Ww unaogopa kukamatwa tu wala huna nia ya kuacha, nyege bado zikijaa unarudia na uendako utajutia. Mwanaume busy kutafuta chakula cha familia ww unachezea pumziko la mwenzio. Another script is coming for you.
 
Mmmh..mbn unajizeesha blood mke wa mtu,,aah unafelii San mtu wang seriously n kwel wanajieka San kwetu cc wa 23s ila binafs nshapata mifumo kuwa overcome njoo PM n Risky San af ndoa inauma kchz ht mwnyw nkijarb kuvaa uhusika wa Victim nafeel io ham ya kumsaidia Israel..
 
Kulala tu kwenye nyumba ya huyo Mwanamke na Mume wake huo ni ujasiri wa hali ya juu, kuwa makini sana.
 
Acha mara moja ujinga wako.
La sivyo tembea na KY kila ukanyagapo siku zako zinahesabika.
 
Hata iyo stori unavoielezea yaonesha wazi kwamba ni ya kutunga tu sio kweli any way mke wa mtu sumu baba kaa nao mbali
 
Karma is real.

Kuna kipindi nawe utaoa. Nawe utaenda kutafuta chochote wanao na mkeo wale. Halafu utagundua kuwa mkeo analiwa, utalalamika sana humu. Nasi tutakushauri lolote kwa kukuhurumia. Kumbe, unavuna ulichopanda.

Uwe tu nakumbukumbu. Utakavyokuja kujisikia, ndivyo anakavyojisikia mwenye mke.

Hujachelewa, acha kabisa hata mazoea na mke wa mtu. Kaa nae mbali. Mazoea huleta vishawishi.
 
Mtoa mada umeniwahi, na Mimi nimekuwa na incident exactly Kama hi yako.Nilitembea na mke na mtu na nimejutiq Sana kitendo hicho.

Mungu atusamehe Mimi na wewe.
 
Karma is real.

Kuna kipindi nawe utaoa. Nawe utaenda kutafuta chochote wanao na mkeo wale. Halafu utagundua kuwa mkeo analiwa, utalalamika sana humu. Nasi tutakushauri lolote kwa kukuhurumia. Kumbe, unavuna ulichopanda.

Uwe tu nakumbukumbu. Utakavyokuja kujisikia, ndivyo anakavyojisikia mwenye mke.

Hujachelewa, acha kabisa hata mazoea na mke wa mtu. Kaa nae mbali. Mazoea huleta vishawishi.
Dah! Kwa hiyo itabidi nianze kujiandaa kisaikolojia mapema hii ili siku nikigongewa mke wangu nisipapatike.
 
Mtoa mada umeniwahi, na Mimi nimekuwa na incident exactly Kama hi yako.Nilitembea na mke na mtu na nimejutiq Sana kitendo hicho.

Mungu atusamehe Mimi na wewe.
Kwanini hadi sasa hujajinyonga?
 
Weka akiba kuwa hata wewe ukioa lazima kijana aje kupita hapo
Sasa two wrongs dont make a right. Cha msingi hapa ni kwamba kutombewaa hakuepukiki. Mwanawane wee chakata mbususu hiyo bwana
 
Back
Top Bottom