Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unaogopa kukamatwa tu wala huna nia ya kuacha, nyege bado zikijaa unarudia na uendako utajutia. Mwanaume busy kutafuta chakula cha familia ww unachezea pumziko la mwenzio. Another script is coming for you.Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.
Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi fikiria kuja kutembea na mke wa mtu, niliapa siwezi kamwe maana inakuwa siyo vizuri kufanya jambo hilo.
Lakini kuna bi dada mmoja hakika sijui ilikuwaje aisee, nikajikuta nimenasa kwa penzi lake, ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja sasahivi.
Dada mzuri, mrembo amejaaliwa, nikajikuta namvutia uzi chap bila kujali kama ana mume. Nikikaza kamba mwisho wa siku akanielewa, na siku hiyo ya kumnyandua, aliniita kwake nyumbani wakati mume amesafiri.
Nikala tunda mpaka asubuhi, niliwahi sana kuamka siku hiyo. Saa kumi usiku nikatoka maeneo yale, sasa baada ya kumaliza tendo lile hakika nilijisikia vibaya sana kwa kufanya vile.
1. Nimemla mke wa mtu ni mtamu sana lakini namkosea mwanaume wake, maana amekaa huko kupambana ili mke na mtoto wale, halafu mimi ndiyo nipo kuwala, siyo jambo jema.
2. Nimeona kama nahatarisha maisha yangu maana mapenzi ni ya maficho, sana.
NB: Vijana wenzangu tuache kutembea na wake za watu ni dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. Sijapenda, sina amani kabisa ndani ya moyo wangu, naumia kwanini nimefanya hivi.
Na bi dada sasahivi ameniganda turudie tena eti amenimis, nawaza hivi hauwezi kuwa mtego kweli nikanaswa, sina majibu. mimi ninafanya shughuli flan, bi dada akija asiponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.
Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.
🤣🤣🤣🤣🤣Wee dogo Miaka 23 mbona Mdogo sana !! Tuliza mshipa huo!
Hataamini kitakachomkutaWeka akiba kuwa hata wewe ukioa lazima kijana aje kupita hapo
Dah! Kwa hiyo itabidi nianze kujiandaa kisaikolojia mapema hii ili siku nikigongewa mke wangu nisipapatike.Karma is real.
Kuna kipindi nawe utaoa. Nawe utaenda kutafuta chochote wanao na mkeo wale. Halafu utagundua kuwa mkeo analiwa, utalalamika sana humu. Nasi tutakushauri lolote kwa kukuhurumia. Kumbe, unavuna ulichopanda.
Uwe tu nakumbukumbu. Utakavyokuja kujisikia, ndivyo anakavyojisikia mwenye mke.
Hujachelewa, acha kabisa hata mazoea na mke wa mtu. Kaa nae mbali. Mazoea huleta vishawishi.
Mtoa mada umeniwahi, na Mimi nimekuwa na incident exactly Kama hi yako.Nilitembea na mke na mtu na nimejutiq Sana kitendo hicho.
Mungu atusamehe Mimi na wewe.
Sasa two wrongs dont make a right. Cha msingi hapa ni kwamba kutombewaa hakuepukiki. Mwanawane wee chakata mbususu hiyo bwanaWeka akiba kuwa hata wewe ukioa lazima kijana aje kupita hapo
Tatizo sumu yenyewe tamuKweli kabisa mke wa mtu ni sumu rafiki
Utapigwa shaba kama katibuTatizo sumu yenyewe tamu