Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti?
Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna, nahitaji muda sana.
Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani, furaha yangu ni ndogo tu 20% tena kwa muda ila huzuni ni nyingi. Sijui kwanini Mungu aliniweka huku.
I hateeeeeeeee my heart, nachukia mapenzi, nachukia upendo, nachukia wanawake.
Ila nakupenda sana, siwezi jidanganya!