watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja, binadamu wote tumeumbiwa tamaa, hakuna binadamu atakupenda kama hajavutiwa na kitu Toka kwako, yaani Kuna kitu kiwe kimemvutia, either muonekano wako au pesa zako, hakuna mtu atakupenda kwa kukuonea huruma, tena unavyolia lia ndo kabisaaa
Mahusiano yakiisha focus on yourself, jipende aisee!! Wanaume tumekua wajinga sana,mtu unahonga wanawake wakasuke kila wiki ila unakuta we huna hata saa nzuri au perfume ya kiwango! Hata kama umeoa thamini familia ila usijisahau, mwanaume fanya mazoezi jiweke nadhifu fanya kazi kwa bidii tafuta pesa, mwanamke lazima atakuchukulia kivingine, anajua akizngua msururu wa wanawake huo hapo kutaka nafasi, kwanini asikuheshimu
jiweke smart, piga tizi tafuta pesa acha kulia Lia mwanaume!!!
Ila kama umechapiwa, piga chini huyo kunguru, mimi wife nilishamwambia live, sitokaa nikuchunge sijui mambo ya kukagua simu yako, kama unataka kucheat fresh tu, ila omba sana nisije kujua! Yaani Sina msamaha hata ukileta makaika waje wakutetee
nikamwambia kabla hujafanya màamuzi ya kwenda kuliwa nje, waangalie Hawa watoto wako wawili vizuri unachoenda kufanya kitasababisha Hawa watoto waishi bila wazazi wao wote wawili, ukiona hicho unachofata ni Bora kuliko familia yako sawa nenda, ila siku nikijua it's the end Hilo halina mjadala na yeye anajua Hilo! That's my ground rule
nimempa uhuru afanye anachotaka ila akijua the consiquensces, maana ukikalia kumchunga sana mwanamke utashindwa hata kutafta pesa, nishaona wengi wanakataa deals za pesa ndefu kisa kuwaza nikienda huko mbali kukaa miezi let say minne wife huku itakuaje, stupid!!.
tafuta pesa kiongozi, mwanamke akileta ujinga piga chini chukua namba E weka ndani!!