Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu.
Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa anatowa hoja zake unamuharibia mtiririko wa hoja zake?
Hivi ni kweli wabunge ni vilaza kiasi hiki hamjui unaharibu flow ya mchangiaji? Je spika huu upuuzi auoni?
Tunaomba pamoja ya kwamba hili ni bunge la hovyo tu lakini mtu anapochangia hoja aachwe asikilizwe hoja zake akimaliza mwenye taarifa ndio apewe nafasi, inakera sana, kama ni kanuni hizi kanuni za kipuuzi zirekebishwe haraka kuna wabunge kazi yao ni kudandia hoja za watu tu.