Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

Kwahilo PAUSE lazima atakuwa MNYACHUSA... TU huyu jamaa
 
Karibu sana mkuu...
Jiskie home na wenyeji wako tunakukaribisha kwa mikono miwili.
Mwisho naomba nikupongeze kwa kufanya maamuzi mujarab kabisa ya kuweka picha yako pasipo hofu wala mashaka. Umependeza sana mkuu, achana na wote wanao jaribu kukukosoa wakati haukujiumba wewe
Nahitaji namba yake, angeweka ingependeza
 
Back
Top Bottom