Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana umeletwa huku hahahahah.... Yaani mtu anasoma kupitia youtube kwelii!!!yaani mwili wa mtu ndo ufanyie majaribio?
ndo maana huu uzi umeletwa jukwaa hili
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia video za mtandaoni.
Japo napungukiwa na uhaba wa vitendea kazi kama visu, nyuzi za kushonea, mikasi mikubwa, gloves, nyembe na vitanda vya kufanyia upasuaji ila naamini nitaweza kufanya huduma nzuri kadri nilivyosoma.
Naomba ushirikiano wako kama mdau na kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.
Karibuni wadau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na vile humu hatujuani unakuta wewe ndo ndugu yake [emoji125][emoji125][emoji125]
huu ndiyo unaitwa uthubutu wa kishujaa.Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia video za mtandaoni.
Japo napungukiwa na uhaba wa vitendea kazi kama visu, nyuzi za kushonea, mikasi mikubwa, gloves, nyembe na vitanda vya kufanyia upasuaji ila naamini nitaweza kufanya huduma nzuri kadri nilivyosoma.
Naomba ushirikiano wako kama mdau na kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.
Karibuni wadau
😛😛yaani mwili wa mtu ndo ufanyie majaribio?
ndo maana huu uzi umeletwa jukwaa hili
Kwasabab lengo la uzi ni utan bac umefanikiwa kuburudisha bigup sanBaada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia video za mtandaoni.
Japo napungukiwa na uhaba wa vitendea kazi kama visu, nyuzi za kushonea, mikasi mikubwa, gloves, nyembe na vitanda vya kufanyia upasuaji ila naamini nitaweza kufanya huduma nzuri kadri nilivyosoma.
Naomba ushirikiano wako kama mdau na kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.
Karibuni wadau
jaribu kwa panya kwanzanaweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.