Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

Humpati mtu mpwa

Labda wale walinzi wa G4S walioiba pesa za benki ndio unaweza kuwapata

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huna mke au mtoto ujifunzie au wewe mwenyewe pia.
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia video za mtandaoni.

Japo napungukiwa na uhaba wa vitendea kazi kama visu, nyuzi za kushonea, mikasi mikubwa, gloves, nyembe na vitanda vya kufanyia upasuaji ila naamini nitaweza kufanya huduma nzuri kadri nilivyosoma.

Naomba ushirikiano wako kama mdau na kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.

Karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ndiyo unaitwa uthubutu wa kishujaa.

Kwasabab lengo la uzi ni utan bac umefanikiwa kuburudisha bigup san

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom