Hii post imenifurahisha sana. Dah! Ok this can be good debate.
Sikia nikwambie bosi wangu do you know why marketing? Au what is marketing? Do not confuse with sales mimi naweza kudefine marketng as an act of compatition, you can parsuade in market if you will only think of marketing as compatition. Sitakuchapa viboko ila nitakulazimisha unielewe, hebu jiulize tanesko wanaweza kuhitaji mtu wa marketing wa kazi gani? Mtu yoyote akitaka umeme hana ujanja lazima aende tanesko bila kusoma bango wala kusikia taangazo. Ila inakuaje kwa tigo? Wakikaa kimya bila kufanya marketing within a week wote tutaamia airtel!.(Sijui unaelewaa?)
Kama tigo wangekuwa peke yao hapa tanzania kusingekuwa na extreem, wala mgao wa bajaji, wala thumni, shilingi moja kwa sekunde,minikabaang, wala offer yoyote ile. Maofa yoooote haya ni kutokana na competitors, there's no need of marketing if there's no competitors there will be only one time advertisment. Utajua unatakiwa utumie nguvu gani kuwapasua wapinzani wako kama tu, utajua pumzi yao. Tigo wamefanikiwa kuwafanya watu wasiwaze yatosha cheka sana wala epiqnation, mwanzo mwisho ni thumni tu thumni, thumni. Kama airtel hataamka kumsoma mpinzani wake atakuja kushtukia abilia wameshuka mpaka na sit zote. Kesho unafuunga kampuni unarudi mueza kulima mjini biashara ngumu. Kwa uzembe tu wa kutokuwa makini na washindani wako.
Better understanding of your competitors is a major feature of marketing. Mimi nina stationery manzese lakini ninawateja wanatoka magomeni kila siku wanavuka zaidi ya stationery 50 katikati mpaka kunifikia mimi.
Note: marketing ni ushindani wa hali ya juu wa kumfanya mteja asifikirie sehemu nyingine zaidi yako.
Sasa unachonielekeza kaka yangu kwenye hiyo post yako mimi sielewi kabisa labda sijui unielekezeje. Lakusema kipaumbele hakitakuwa kwenye kuwasoma opponents wangu!!!!? Mimi nikimjua tu mpinani wangu leo kesho nakuja na sales plan matata mpaka wafanyakazi wake watakuja kununua kwangu badala ya dukani kwao. Lakini ni baada tu ya kumtambua mpinzani. Hii kitu nilipo iaply kwa mara ya kwanza niliboost sales kwa 170% ukitaka story ilikuwaje sema nitafunguka hapa hapa na evidenc zote.