Najitolea kukuza kampuni yako bure

Najitolea kukuza kampuni yako bure

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka natafuta kampuni yoyote inayohitaji mtu wa kusimamia masoko nifanye kazi kwa kujitolea mpaka january. Nina uzoefu mkubwa na local makert kwa zaidi ya miaka 5. Miaka 2 online marketing 2 offline marketing and 1yr as costumer relation officer Ni kijana wa miaka 23. Kigezo cha kampuni ninayo tafuta, iwe na bajet kwa ajili ya masoko. Lakini iwetayari kuoffer vitu vingine kwani sitahitaji mshahara tu na sio gharama zingine. The company with best offer Will be accepted.
 
??????????????????????????!:help::help::help::help:
 
Mimi nimeelewa kuwa atafanya kazi bure bila ya kuhitaji mshahara ila vitu kama usafiri,lunch na vitu vingine kama hivyo itabidi kampuni ihudumie.
Kwa maana hiyo ni bure
 
Umesema unauzoefu mkubwa katika Local market kwa zaidi ya miaka mitano.
Sasa umwahi kufanyakazi wapi namafanikio yako katika hilo.
Na Je based Dar au mikoani.Unaongea Lugha Ngapi
 
Mimi nimeelewa kuwa atafanya kazi bure bila ya kuhitaji mshahara ila vitu kama usafiri,lunch na vitu vingine kama hivyo itabidi kampuni ihudumie.
Kwa maana hiyo ni bure

Umenielewa vizuri queen
 
Umesema unauzoefu mkubwa katika Local market kwa zaidi ya miaka mitano.
Sasa umwahi kufanyakazi wapi namafanikio yako katika hilo.
Na Je based Dar au mikoani.Unaongea Lugha Ngapi
nimefanya kaza na path technology, bang magazine, mwananchi,ndoto magazine,soma,cgs,chenglee,DND,tangazo.com na sasa nafanya intelvision tanzania ltd. Naongea vizuri kiswahili na english kiasi
 
mmmmmmh miaka zaidi ya 5 na sasa hivi unamiaka 23 inamaanisha umeanza kufanya kaziukiwa na miaka 17 au chini ya hapo, hebu nipe elimu yako mkuu nione uwezo huo unaousema ni wa weledi au wa kurithi
Nikikutajia elimu yangu ya darasani utachanganyikiwa kaka, kwani mimi nina diploma ya it from ucc, nina certificate ya 3d and animation nina certificate ya multmedia graphics membership certificate ya ubsoft games development body. Kama havitoshi niambie ninavyo vingi tu. Lakini hivyo vyote nafanya part time. I have been doing marketing since I was O level.
 
Bora umeamua kijiripua na kuwa muwazi.
Ila tegemea offer za kawaida.Hasa uliposema English Kiasi.

Kuna Deal ikiwa fresh nitakutafuta,maana haihitaji uzoefu mkubwa wala Ki English kivile.

Hembu nipe ushauri hapa sasa kama Mtaalaam wa Local marketing:-
Mie na supply Spices kwa hapa Zanzibar (Admin msinichore hapa,maana nataka huyu aweke wazi wengine wafaidike,ndio maana si PM)

Sasa hembu niambie ni mbinu zipi utazifanya ili niweze kufanikisha nimepata soko kwa nje ya Zanzibar na hata nje ya nchi for online marketing and offline Marketing.Point to note nikwamba website ipo tayari.

Hapo chacha tiririka mwanawane
 
I can advice you kaka, but first you have to know, good marketing does not depend on what language you are using but it is communication skills matter. Ni uvivu wetu tu kufikiria kuwa wateja wazuri na wenye hela za kununua bidhaa au huduma zetu ni wale wanao ongea kingereza, ha ha ha ha yaani huo ni mtindo wa kufikiria kinyume na maumbile. Sawa english ni lugha ya kimataifa but it is not a marketing language. That is accdng to my experience so if you can educate me something It will be great.
Kaka kukushauri jinsi ya kuexpand your product market iwill need to understand your product well, lakini very simple idea ni kuanza kwa kufanya very short marketing reseach in new targeted zone, and within your research start by stadyng your competitors. And collecting prospect costumers database then other thing will follow. I can do this reseach free for you then iwill prepare zone sales plan freeeee may be itakuwa na maana nikikuelekeza kwa vitendo tuachane na makwara ya maneno meeeeengi, ninaweza kuandika hapa nakajaza hata biblia but there's no reason of using thousands of words while one action can give the same meaning
 
Duh kuna mstari mmoja wa tatu umenistua,
Nimependa pia kiingereza chako,maana najua hakuna mtu atakae judge.
Haya hembi nipe email yako.
ila uniandikie kwa kiswahili nikitumia email,maana kizungu kitanizonga
 
Sawa boc nimekupata nimeandika what badala ya which thanks
 
Sikutegemea na kujisifu kote huko unaweza kuwa na majibu ya kitoto namna hii yaani umefanya marketing miaka zaidi ya 5 unajibu utaanza kuwatafuta washindani na kufanya utafiti

Ndio lazima utavifanya lakini sio tambo yako ya kwanza yaani nikuulize nataka kujua kuendesha gari nifundishe unajibu ingia kaa kiti cha dereva fanya utafiti kama gari ni manual au automatic kweli?

Vipi kama gari halina mafuta?oil chafu? Maji yameisha?

Me nilitegemea msomi kama wewe mwenye experience kubwa ungeniambia kitu cha kwanza ningeziangalia bidhaa zenyewe na kuzihakiki zinafaa kwa mteja nnaemtegemea,ww ndio unakuwa huyo mteja ili kuwa na uhakika na unachokifanya, baada ya hapo nitamtambua mteja wangu na nnaemtegemea ni yupi ntafanya uchunguzi wa sokoni kuna nini na nini na sehemu gani ntaweza kuiweka bidhaa yangu ikatoka baada ya hapo ntabuni mbinu ya kutokea ili niwe tofauti na wengine. Ndipo bidhaa itatoka. Lakini kujitapa kwako unaishia eti ntajaza biblia mbona me nimeeleweka na haijajaaa?
 
unamiaka 23. uzoefu ni miaka 5
sasa 23-5=18
nashukuru kwa kuwa mkweli.
 
Hii post imenifurahisha sana. Dah! Ok this can be good debate.
Sikia nikwambie bosi wangu do you know why marketing? Au what is marketing? Do not confuse with sales mimi naweza kudefine marketng as an act of compatition, you can parsuade in market if you will only think of marketing as compatition. Sitakuchapa viboko ila nitakulazimisha unielewe, hebu jiulize tanesko wanaweza kuhitaji mtu wa marketing wa kazi gani? Mtu yoyote akitaka umeme hana ujanja lazima aende tanesko bila kusoma bango wala kusikia taangazo. Ila inakuaje kwa tigo? Wakikaa kimya bila kufanya marketing within a week wote tutaamia airtel!.(Sijui unaelewaa?)
Kama tigo wangekuwa peke yao hapa tanzania kusingekuwa na extreem, wala mgao wa bajaji, wala thumni, shilingi moja kwa sekunde,minikabaang, wala offer yoyote ile. Maofa yoooote haya ni kutokana na competitors, there's no need of marketing if there's no competitors there will be only one time advertisment. Utajua unatakiwa utumie nguvu gani kuwapasua wapinzani wako kama tu, utajua pumzi yao. Tigo wamefanikiwa kuwafanya watu wasiwaze yatosha cheka sana wala epiqnation, mwanzo mwisho ni thumni tu thumni, thumni. Kama airtel hataamka kumsoma mpinzani wake atakuja kushtukia abilia wameshuka mpaka na sit zote. Kesho unafuunga kampuni unarudi mueza kulima mjini biashara ngumu. Kwa uzembe tu wa kutokuwa makini na washindani wako.
Better understanding of your competitors is a major feature of marketing. Mimi nina stationery manzese lakini ninawateja wanatoka magomeni kila siku wanavuka zaidi ya stationery 50 katikati mpaka kunifikia mimi.
Note: marketing ni ushindani wa hali ya juu wa kumfanya mteja asifikirie sehemu nyingine zaidi yako.

Sasa unachonielekeza kaka yangu kwenye hiyo post yako mimi sielewi kabisa labda sijui unielekezeje. Lakusema kipaumbele hakitakuwa kwenye kuwasoma opponents wangu!!!!? Mimi nikimjua tu mpinani wangu leo kesho nakuja na sales plan matata mpaka wafanyakazi wake watakuja kununua kwangu badala ya dukani kwao. Lakini ni baada tu ya kumtambua mpinzani. Hii kitu nilipo iaply kwa mara ya kwanza niliboost sales kwa 170% ukitaka story ilikuwaje sema nitafunguka hapa hapa na evidenc zote.
 
unamiaka 23. uzoefu ni miaka 5
sasa 23-5=18
nashukuru kwa kuwa mkweli.
Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
 
Back
Top Bottom