Najitolea kupambana na "Panya Road"

Najitolea kupambana na "Panya Road"

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu

Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004.

Mwaka 2011 nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia congo kupambana na waasi (ndani ya miezi 7)

Mwaka 2018 nikachaguliwa kuwa muwakilishi tokea East Africa kwenye mafunzo ya sniper nchini Korea Kaskazini

Nimepata taarifa juu ya hali hii ya Panya road narudi kwaajili ya kuweka amani kwenye taifa langu 🇹🇿
 
Tupe mikakati yako, utawashindaje ili tukupe kazi kijana mzalendo.
 
Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu

Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004 ...
Mwaka 2011 Nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia congo kupambana na waasi (ndani ya miezi 7)

Mwaka 2018 nikachaguliwa kuwa muwakilishi tokea east africa kwenye mafunzo ya sniper nchini korea kaskazini

Nimepata taarifa juu ya hali hii ya Panya road narudi kwaajili ya kuweka amani kwenye taifa langu [emoji1241]
Nimevyosoma ikabidi nirudi kuangalia ID Nikajua dj nalimison karudi kuanzisha nyuzi zake kama kawaida. Kumbe kuna mwingine
 
Yule jamaa wa Gongolamboto sijui yuko wapi kipindi kile Gomz wezi wanasumbua na kuua watu wakati wa alfajiri wakaunda kikosi kazi chau nakupewa ruhusa na Local Government. Kila weak wezi wananazikwa. Mtafute huyo jamaa muungane mkuu.
 
Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu

Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004.

Mwaka 2011 Nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia congo kupambana na waasi (ndani ya miezi 7)

Mwaka 2018 nikachaguliwa kuwa muwakilishi tokea east africa kwenye mafunzo ya sniper nchini korea kaskazini

Nimepata taarifa juu ya hali hii ya Panya road narudi kwaajili ya kuweka amani kwenye taifa langu 🇹🇿
Paka road wapo wapi mpaka panya road wanazaliana kiasi hiki?
 
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja kikukute kitu
 
Back
Top Bottom