Hatuna serikali, this is a banana republic mdau...Wakuu...
Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani?
kuna hawa wawili DC wa Ubungo Albert Msindo na mkuu wa mkoa wa Dar Chalamila wanaropoka sana.
ANYWAYS hakuna Amani bila HAKI.
Mkuu hili la kuvaa sare za chama ni sawa ila wakuu wa mikoa na wilaya ni wawakilishi wa Rais.Wakuu...