Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo.?
Yanaposemwa hayo, yanalengo lipi kama si kugeuza uzuri wa jambo la mtu na kumpakazia ubaya?
Je,ipo faida inapatikana kuhusiana na hayo mambo, kugeuza mazuri yake na kumpakazia ubaya ili hali kwanza hayuko duniani? Hii nayo inaweza kuwa ni dhambi mbele za muumba
Kitakachofuata, ada, wazazi mjiandae kulipa!
Yetu macho!