Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Wacha tumsubiri CAGWatu ambao huwezi kuwaelewa ni Wanasiasa
Hatujui hata yule kwa kupenda misifa alikuwa anakopa huko na kuwapa shirika lijiendeleza
Hivi zile ndege zinaingiza faida kiasi gani vile?
Wamefundishwa kusema kweli, nadhani itakuwa okayKama ataanika ukweli nae
Atuzibe midomo
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo.?
Yanaposemwa hayo, yanalengo lipi kama si kugeuza uzuri wa jambo la mtu na kumpakazia ubaya?
Je,ipo faida inapatikana kuhusiana na hayo mambo, kugeuza mazuri yake na kumpakazia ubaya ili hali kwanza hayuko duniani? Hii nayo inaweza kuwa ni dhambi mbele za muumba
Kitakachofuata, ada, wazazi mjiandae kulipa!
Yetu macho!
Umenifundisha kitu mkuuKwanza wazazi tunaosomesha watoto shule zetu pendwa kayumba please UJIANDAE upepo unageuka soon!.
Pili dhana ya mwanasiasa inabaki palepale kuwa, akikwambia "... toka nje kuna giza jiongeze mwenyewe uende ukahakikishe kweli kuna giza?"
Then mwanasiasa hasa huyu wa kiafrika hana hakidi kwa wananchi bali ana jozi ya kutawala na kujinufaisha, tuchukue mfano wa mzee mmoja late kambona, huyu alitaka Tanzania ijitawale na kujiendesha kibepari as Kenya na akiwa waziri wanaofaham na kusima historia mzee alijichotea mlungula toka kwa mabeberu aliokuwa tayari kaingia nao mikataba kadhaa
Huyo ndiye mwanasiasa alivyo na hata hawa tunawajadili hapa, hawawezi kuwa tofauti sababu mwenye uchungu na nchi yake siku zote hawezi kuwa na siku ndefu.
Mtakatifu ni Nani mkuu, ikiwa hata wewe si mtakatifu, kama si mtakatifu, basi na wewe unayo hali ya uovu,Hayo ndio malipo ya mtu muovu. Wote tunajua alikuwa mtu muovu. Kinachofanyika sasa ni kurekebisha uovu ule.
Ni hatari mno kusahau kwamba kesho ni inatungoja
Uongo ukisemwa, na kurudiwa mara kwa mara, basi huweza kuaminika kuwa ndiyo ukweli wenyewe. Miaka mitano iliyopita ndiyo hali ilivyokuwa, uongo mwingi sana ulifanyika na kuaminika kuwa ni ukweli, huku watu wakiogopa kuukanusha kwa hofu ya vitisho vya mtawala.Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo.?
Yanaposemwa hayo, yanalengo lipi kama si kugeuza uzuri wa jambo la mtu na kumpakazia ubaya?
Je,ipo faida inapatikana kuhusiana na hayo mambo, kugeuza mazuri yake na kumpakazia ubaya ili hali kwanza hayuko duniani? Hii nayo inaweza kuwa ni dhambi mbele za muumba
Kitakachofuata, ada, wazazi mjiandae kulipa!
Yetu macho!
Yule mtu alikuwa muovu shetani kabisa. Unamtetea muuaji?Mtakatifu ni Nani mkuu, ikiwa hata wewe si mtakatifu, kama si mtakatifu, basi na wewe unayo hali ya uovu,
Lakini pia, unadhani muovu hana hata jema moja? Ikiwa hata kwako vitu hivi viwili unavyo, basi hata mema unayo,!
Yule muovu aliharibu sana taifa letuMtafanyaje wakati alifundisha hawa kukaa madarakani bila ridhaa ya umma? Kabla yake wangalau watu walikuwa na hofu ya box la kura, hivi sasa wanaamua nani akae kwenye madaraka.