Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kuna tofauti kati ya kazi na ajira...Ohh analipwa kumbe
Kazi (work) ni kitendo cha kutumia jitihada yenye kuhitaji nguvu ya mwili au tafakari ya akili ili kuleta matokeo tofauti
Job (ajira) ni kazi inayokuingizia kipato/mapato
Sasa huyo jamaa sijui anachofanya ni ajira au ni kazi tu