Uchaguzi 2020 Najiuliza, ni Mwananchi wa aina/fani gani atampa kura Magufuli mwaka huu

Yaan nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu.
Maana kama;-
WAFANYA BIASHARA.
Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede, mwenyewe ni mashahidi...

WAFANYAKAZI.
hapa nazungumzia waajiriwa serikalini sekta mbalimbali jinsi walivyovuka kwa shida hii miaka 5 pasi na nyongeza yoyote ya mshahara tena na vitisho au maneno ya kebehi kana kwamba kama umechoka kazi basi acha.
Hapa kumbuka kuna wale waliofukuzwa kazi kuanzia ile 2016(vyeti feki) sijawazungumzia ila naomba niishie hapa.

WAHITIMU WA ELIMU ZA JUU NA KATI.
Hawa ndo hatari tupu, naamini wahitimu walio wengi waliohitimu toka 2015 hawana kazi rasmi labda awe na connection ndo anaweza akaja hapa na kutuambia kuwa amepata permant job serikalini.

WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU.
Hawa nao ni majanga tu mikopo ya elimu ya juu imekuuwa kama betting tu kama huna kismart basi kwisha habari yako.
Hao wanaendelea na masomo na walibett na kupata zali LA mkopo show wameiona mwaka huu kwa kupunguziwa mabomm yao eti kisa Corona.

WAKULIMA.
Huku nako ni chenga tu. Jaribu kwenda Lindi na Mtwara ukaone watu wanavyoteseka na zao la korosho na wengine walidirika mpaka kujinyonga..eti wanaambiwa korosho hawajalima wao wao ni Kangomba.

Heeeeee, hadi nimechoka kuandika jamani ongezeeni na mengine naamini ni mengi sana..
Ndo maana najiuliza hapaa huyu Magufuli mwaka huu atapata kura ya mtanzania gani...?
Aiseee !!
 
Wameanza onja joto ya uchaguzi,
Bila muziki watu hawaendi kuwasikiliza, majaliwa makosa watu Babati, samia imebidi alazimishe shule zifungwe ili apate wasikikilizaji,

Huku Lisu na zito wanazidi kupata uungwaji mkono
Kaulimbiu yao mwaka huu ni diamond ata kuwepo msaga sumu ata kuwepo na nani tena na Dogo janja naye ata kuwepo ati na Sunura nayeye ata kuwepo 🙆
IMG_20200902_162049.jpg
 
Yaan nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu.
Maana kama;-
WAFANYA BIASHARA.
Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede, mwenyewe ni mashahidi...

WAFANYAKAZI.
hapa nazungumzia waajiriwa serikalini sekta mbalimbali jinsi walivyovuka kwa shida hii miaka 5 pasi na nyongeza yoyote ya mshahara tena na vitisho au maneno ya kebehi kana kwamba kama umechoka kazi basi acha.
Hapa kumbuka kuna wale waliofukuzwa kazi kuanzia ile 2016(vyeti feki) sijawazungumzia ila naomba niishie hapa.

WAHITIMU WA ELIMU ZA JUU NA KATI.
Hawa ndo hatari tupu, naamini wahitimu walio wengi waliohitimu toka 2015 hawana kazi rasmi labda awe na connection ndo anaweza akaja hapa na kutuambia kuwa amepata permant job serikalini.

WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU.
Hawa nao ni majanga tu mikopo ya elimu ya juu imekuuwa kama betting tu kama huna kismart basi kwisha habari yako.
Hao wanaendelea na masomo na walibett na kupata zali LA mkopo show wameiona mwaka huu kwa kupunguziwa mabomm yao eti kisa Corona.

WAKULIMA.
Huku nako ni chenga tu. Jaribu kwenda Lindi na Mtwara ukaone watu wanavyoteseka na zao la korosho na wengine walidirika mpaka kujinyonga..eti wanaambiwa korosho hawajalima wao wao ni Kangomba.

Heeeeee, hadi nimechoka kuandika jamani ongezeeni na mengine naamini ni mengi sana..
Ndo maana najiuliza hapaa huyu Magufuli mwaka huu atapata kura ya mtanzania gani...?
Empy heads ambao ni wanachama wa ccm
 
Ilani ya chadema Ni precise and concise 104 pages zinaelewka kuliko ile ya Magamba page 300+ Kuna utopolo mtupu
 
1599053941964.png
 
Wewe huna sababu za kumyima Kura Magufuli! Labda hasira za kutimuliwa kazi Kwa zile cheti hewa zenu au kule kuvuna mahali usipopanda!

Utakuta mtu hata nyumba yake pesa yake iliyotumika kuijenga ilitosha tofali 10 pekee, zingine zote alikwapua au aligisadi, hapo si ni Sawa na mtu anaishi kwenye nyumba ya watu wengine?

Kama mlizoea Kwa Aina hiyo na hamuoni haya hata Mbele za Mungu, lazima utamchukia Magufuli

Tutampa tena Ili muendelee kuonja ubaya wa kuishi maisha ya kitapeli
Utakuja kuelewa kwa kuchelewa sana!.
 
Yaan nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu.
Maana kama;-
WAFANYA BIASHARA.
Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede, mwenyewe ni mashahidi...

WAFANYAKAZI.
hapa nazungumzia waajiriwa serikalini sekta mbalimbali jinsi walivyovuka kwa shida hii miaka 5 pasi na nyongeza yoyote ya mshahara tena na vitisho au maneno ya kebehi kana kwamba kama umechoka kazi basi acha.
Hapa kumbuka kuna wale waliofukuzwa kazi kuanzia ile 2016(vyeti feki) sijawazungumzia ila naomba niishie hapa.

WAHITIMU WA ELIMU ZA JUU NA KATI.
Hawa ndo hatari tupu, naamini wahitimu walio wengi waliohitimu toka 2015 hawana kazi rasmi labda awe na connection ndo anaweza akaja hapa na kutuambia kuwa amepata permant job serikalini.

WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU.
Hawa nao ni majanga tu mikopo ya elimu ya juu imekuuwa kama betting tu kama huna kismart basi kwisha habari yako.
Hao wanaendelea na masomo na walibett na kupata zali LA mkopo show wameiona mwaka huu kwa kupunguziwa mabomm yao eti kisa Corona.

WAKULIMA.
Huku nako ni chenga tu. Jaribu kwenda Lindi na Mtwara ukaone watu wanavyoteseka na zao la korosho na wengine walidirika mpaka kujinyonga..eti wanaambiwa korosho hawajalima wao wao ni Kangomba.

Heeeeee, hadi nimechoka kuandika jamani ongezeeni na mengine naamini ni mengi sana..
Ndo maana najiuliza hapaa huyu Magufuli mwaka huu atapata kura ya mtanzania gani...?
hahaaa mkuu sjawai kuskia rais anaongelea biashara mpaka ya buku jero bumgeni huyumwamba alikaza mkuu Ila kuhusu wakumchagua niliskiaga kwamba hata mawe yanachaguaga sjui niliotaga mkuu???
 
Kuna tofauti kati ya kuwabanna na kuwafilisi,yeye chini yake kafislisi wengi
Mmeshasahau wakati mnalalamika kwamba wafanyabishara wanakwepa kodi na ikulu ni kama sebule kwao. Leo wamebanwa mnarudi kuwatetea.
 
Kabisa Mkuu hawa ni wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara na wahitimu wasiokuwa na ajira ambao pamoja na kudhulumiwa kwa miaka mitano na kuwa benchi lakini bado watampigia kura.

Kuna mataga mkuu!! Hawajali chochote zaidi ya buku 7 itapendeza.
 
Swali lako na assumptions zako ndio zinazofanya wapinzani kuvamia msitu kwa kiwembe kila uchaguzi.
 
Back
Top Bottom