Uchaguzi 2020 Najiuliza, ni Mwananchi wa aina/fani gani atampa kura Magufuli mwaka huu

Aiseee !!
 
Wameanza onja joto ya uchaguzi,
Bila muziki watu hawaendi kuwasikiliza, majaliwa makosa watu Babati, samia imebidi alazimishe shule zifungwe ili apate wasikikilizaji,

Huku Lisu na zito wanazidi kupata uungwaji mkono
Kaulimbiu yao mwaka huu ni diamond ata kuwepo msaga sumu ata kuwepo na nani tena na Dogo janja naye ata kuwepo ati na Sunura nayeye ata kuwepo 🙆
 
Empy heads ambao ni wanachama wa ccm
 
Dr. Anastahili mitano mingine.
 
Ilani ya chadema Ni precise and concise 104 pages zinaelewka kuliko ile ya Magamba page 300+ Kuna utopolo mtupu
 

 
Utakuja kuelewa kwa kuchelewa sana!.
 
hahaaa mkuu sjawai kuskia rais anaongelea biashara mpaka ya buku jero bumgeni huyumwamba alikaza mkuu Ila kuhusu wakumchagua niliskiaga kwamba hata mawe yanachaguaga sjui niliotaga mkuu???
 
Kuna tofauti kati ya kuwabanna na kuwafilisi,yeye chini yake kafislisi wengi
Mmeshasahau wakati mnalalamika kwamba wafanyabishara wanakwepa kodi na ikulu ni kama sebule kwao. Leo wamebanwa mnarudi kuwatetea.
 
Kabisa Mkuu hawa ni wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara na wahitimu wasiokuwa na ajira ambao pamoja na kudhulumiwa kwa miaka mitano na kuwa benchi lakini bado watampigia kura.

Kuna mataga mkuu!! Hawajali chochote zaidi ya buku 7 itapendeza.
 
Swali lako na assumptions zako ndio zinazofanya wapinzani kuvamia msitu kwa kiwembe kila uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…