Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Inasikitisha sana ndugu zangu katika imani 😂
Kwa style ya kina shekhe mwaipopo uisilamu ni wa kupigwa vita
Ndugu zetu wa mabikra 72 wanapenda kufa mashaidi sana
China ndio noma waligeuza masjid kua choo cha umma watu wanadeliver tu vinyesi kwenye mimbari
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.
Lile ni Taifa la Mungu Vishnu, Krishna, Shiva, Ganesha, Hanumanu na Brahma.
Kule Allah hana Nguvu Wala Yehova, Yahweh Wala Jesus.
Hivyo Wana haki ya kuvunja Imani batili katika ardhi takatifu ya Krishna
Hindu ni 78% ya wanainchi wote wa India,,, na wote hawawapendi waislam na ndy wengi wapo serikalini..Yes sio mwaka huu tu wamevunja hata last year kuna vipeperush vilibandikwa kwenye nyumba za waislamu polis wakawa wanaenda kutoa .
Duh....China ndio noma waligeuza masjid kua choo cha umma watu wanadeliver tu vinyesi kwenye mimbari
Hindu ni 78% ya wanainchi wote wa India,,, na wote hawawapendi waislam na ndy wengi wapo serikalini..
Kabisa ,, halafu hata hao Hindu wanawabaguwa wahindi wenzao wale weusi..KerlaHapo lazima rungi liwapate
China wanapunguza idadi ya misikiti sio kwamba wanavunja misikiti kichuki kama India.Itakuwa wameiga kwa China..
China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas | Human Rights Watch China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas