Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Nchi zinazoongoza kwa mashoga ni za kikristo ikianzwa na Israel.
Vatican pope ameruhusu ndoa za mashoga kanisani.
Uingereza mapadri wa anglican wameruhusu ndoa za mashoga.
Wanaopigania haki za mashoga ni mataifa ya kikristo na wakristo.
Embu nitajie nchi ya kiislam iliyoruhusu ushoga!?? Moja tu.
Pia hujanijibu Christopher Columbus alikua muislam!??
Akikujibu nishtue. Akikujibu nipo pale
 
Mtu kama huyo hupaswi kumjibu hata kidogo Kwasababu unamuona tayari kwenye moyo wake anachuki.
Achana nae kiongozi.
Hamna kaka kuna muda wajinga kama hawa ni vema kuwazindua akili. Anadhani Israel anapambana na uislam ilhali Israel anapambana na jamii yeyote ile inayopinga uzayuni. Wakristo wenzao waliuawa sana 1960 Lebanon kwa mkono wa Israel ila hilo hawalijui. Hapo hapo Israel Yesu anajulikana kama mtoto wa zinaa na hafai kutajwa hadharani ila hilo hawalijui.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kua muislamu.

Pwani ya afrika mashariki inaogoza kwa mashoga zenji hadi maasikari polisi ni mshoga.
Ila mtu mwenye akili timamu anaweza akawa christian si ndy maana yake. Hii nchi hii Ina udini sema ni vile sababu kubwa ya kuleta hio vita haijapatikana. Mungu aepushe lakini juilize wewe una akili kiasi gani kuzidi baadhi yahao Muslim ambao wamekuzidi Kila kitu Pesa, elimu, akili, nidhamu na mbaka malengo ukipata jawabu nishtue nije nikujibu.
 
Hamna kaka kuna muda wajinga kama hawa ni vema kuwazindua akili. Anadhani Israel anapambana na uislam ilhali Israel anapambana na jamii yeyote ile inayopinga uzayuni. Wakristo wenzao waliuawa sana 1960 Lebanon kwa mkono wa Israel ila hilo hawalijui. Hapo hapo Israel Yesu anajulikana kama mtoto wa zinaa na hafai kutajwa hadharani ila hilo hawalijui.
Sikionla kufa halisikii dawa ndugu yangu.
 
Ila mtu mwenye akili timamu anaweza akawa christian si ndy maana yake. Hii nchi hii Ina udini sema ni vile sababu kubwa ya kuleta hio vita haijapatikana. Mungu aepushe lakini juilize wewe una akili kiasi gani kuzidi baadhi yahao Muslim ambao wamekuzidi Kila kitu Pesa, elimu, akili, nidhamu na mbaka malengo ukipata jawabu nishtue nije nikujibu.
Anatukana waislam ilhali kihistoria waratibu wa uhuru waislam Nyerere alikua muwakilishi tu wa hilo jopo. Hata ikulu ilijengwa kwa architecture ya kiislam.
Wanaoongoza kuajiri vijana na kuwekeza hapa nchini waislam kina Bakhresa,GSM,Mohamed Dewji,Asas n.k.
 
Unaweza Kuta hata boss wake aliemuajiri ni muislamu sema tu Bado anakazq fuvu.
 
Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???

View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1

Hiyo ni kanuni ya mwenye nguvu mpishe tu inafanya kazi.

Uislamu, kama dini iliyoenea kwa upanga, unatakiwa kujua hilo na kulikubali tu kwamba kuna sehemu umezidiwa utaonewa, kuna sehemu unaweza kufurukuta.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ukielewa hili, utaona kuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya hizi dini na siasa za kupigania fursa tu.

Ndiyo maana watu tunaotaka haki ya kweli tumekataa kuchotwa akili na migawanyiko ya kidini duniani.
 
Misikiti mingi kwa kipindi unachosema ilijengwa kwenye maeneo yaliyokuwa mahekalu ya wahindu. Ambapo waislam walipora mahekalu hayo na kugeuza kuwa misikiti. Historia ya Utawala wa waislam huko India imejaa ukatili na damu ya kutisha. Kuna misikiti ina hadi michoro ya kihindu lakini Waislam wanadai ni yao.!

Wanachofanya wahindu ni kurejesha tu maeneo haliyokuwa yao hapo Awali.

Imagine Waislam walijenga msikiti hata alipozaliwa Lord Rama. Ambapo miaka ya karibuni India wameuvunja na kujenga upya hekalu lao lililokuwepo toka mwanzo kabla ya uislam kufika India.

Ni kama Waislam walivyoenda kujenga msikiti kwenye eneo la Wayahudi la Temple Mount pale Jerusalem....imagine wahindi wavunje al kaaba waweke hekalu lao!

Gyanvapi mosque in Varanasi. One of the walls has remnants of an ancient temple. Creative Commons image.

Msikiti wa Gyanvapi ulioko Varanasi. Huu ni msikiti ambao baadhi ya kuta zina asili ya mahekalu ya wahindu.

Okay
 
Hiyo ni kanuni ya mwenye nguvu mpishe tu inafanya kazi.

Uislamu, kama dini iliyoenea kwa upanga, unatakiwa kujua hilo na kulikubali tu kwamba kuna sehemu umezidiwa utaonewa, kuna sehemu unaweza kufurukuta.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ukielewa hili, utaona kuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya hizi dini na siasa za kupigania fursa tu.

Ndiyo maana watu tunaotaka haki ya kweli tumekataa kuchotwa akiki na migawanyiko ya kidini duniani.

Yes mwenge nguvu ndo anaishi
 
Uislamu ni mzuri ila Sasa hapo kwenye chuki za kuuana na mambo ya kuitana makafiri ndio kidogo hicho kipengele waanzilishi wa dini hiyo walizingua.
 
Misikiti mingi kwa kipindi unachosema ilijengwa kwenye maeneo yaliyokuwa mahekalu ya wahindu. Ambapo waislam walipora mahekalu hayo na kugeuza kuwa misikiti. Historia ya Utawala wa waislam huko India imejaa ukatili na damu ya kutisha. Kuna misikiti ina hadi michoro ya kihindu lakini Waislam wanadai ni yao.!

Wanachofanya wahindu ni kurejesha tu maeneo haliyokuwa yao hapo Awali.

Imagine Waislam walijenga msikiti hata alipozaliwa Lord Rama. Ambapo miaka ya karibuni India wameuvunja na kujenga upya hekalu lao lililokuwepo toka mwanzo kabla ya uislam kufika India.

Ni kama Waislam walivyoenda kujenga msikiti kwenye eneo la Wayahudi la Temple Mount pale Jerusalem....imagine wahindi wavunje al kaaba waweke hekalu lao!

Gyanvapi mosque in Varanasi. One of the walls has remnants of an ancient temple. Creative Commons image.

Msikiti wa Gyanvapi ulioko Varanasi. Huu ni msikiti ambao baadhi ya kuta zina asili ya mahekalu ya wahindu.
Hoja yako ni sawa mkuu kwamba waislam waliteka maeneo ya Hindu na kugeuza misikiti ila hyo ni history ya zamani sana ,,
-Dini ya Hindu ndy dini iliyokuwapo India zamani kabla ya uislam kuingia,,
..Kuanzia mwaka 1190 ndy uislam ulianza kuingia India na mwaka 1200 ndy utawala wa kifalme wa kiislam uliingia rasmi India.
Hadi miaka ya 1560 ndy baadhi ya sehem ya India ilikuwa inatawaliwa na Hindu...

Ninachotaka kusema ni kwmba uislam ulikuwa India kwa miaka mingi Sana kabla ya kuja British na kutawala na walijenga misikiti mingi sn.....na hata hao waislam wa sasa history inasema walikuwa Hindu,kwahyo sio sababu ya kuvunja miskiti sasa kwamba walichukuwa maeneo yao ya temples...
Zile vurugu za kujitenga na Pakistan mwaka 1947 ,ndy wanaziendeleza hadi sasa...
Hawana sababu za msingi kuvunja miskiti,,,ni vile tu Hindu kwa sasa ni wengi na wana nguvu serikalini kuliko Muslims wa hapo.,
Wana uwezo wa kufanya chchote kwa yeyote asiye Hindu.
 
Mkuu kutoka 1947 mpaka leo bado wanakuwa maskini tu?
Walipokonywa kila kitu mkuu,,,zile vurugu ziliwanyima haki ya mambo mengi waislam,,wotee walifukuzwa kwenda Pakistan na hata leo kuna ubaguzi mkubwa sn ktk kila sekta za kazi nk,,, ukiwa Muslim hupewi kipaumbele.
Mimi nimekaa pale napajuwa vzr sn.
Wahindi wanabaguwana sn kimajimbo na kidini., nk.
Na hata Pakistan ombaomba ni Hindu na wakrisro....sababu Hindu pia walifukuzwa huko warudi India na walipokonywa mali pia na wapakistani..

(A)Pakistan- mpakani.
(B)Hindustan -uhindini.
Baada ya British kuondoka India na wahindu walikuwa wengi sn Hindustan na kule Pakistan waislam walikuwa wengi sana.
Ndy wakatengana ili kwenye waislam wengi na kwenye Hindu wengi kila mtu abaki kwao.,hapo ndy matajiri wengi waligeuka masikini kukimbia inchi..
 
Back
Top Bottom