Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???

View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1

India ina historia ya chuki na uislam sio tu kuanzia 1600 bali miaka ya nyuma kabla ya 1600 ambapo waislam waliingia hizo pande tawala moja wapo ambazo ziliwahi kutia miguu himaya ya Kihindi ikitawaliwa na mhindu ni utawala wa Gazadnavid ambao una extend kuanzia Afghanistan hadi mipaka ya India kwa miaka hiyo. Kiufupi dola za kiislam ziliwachachafya sana wahindi. Ni historia ya chuki ndio maana wanafanya yote hayo.
 
Waislamu ji wavamizi sana hata pale Israel walivamia eneo takatifu wakajenga temple lao siku wayahudi wakiamuka vibaya utabomolewa
Najiulizaga sana ilikuaje abraham akawa muislamu na hakuna popote pale ameandika kwamba yeye alikuwa muislamu ila sasa ving'ang'a wako tayari hata kuua ila sio kusikia ukweli
 
Ukweli wa Abraham wewe unajuaje na unaujua kutoka wapi!? Au unaujua kwa kitabu kipi!?
Pia usifananishe ya Israel na India udini usikufanye ukawa FALA WA FIKRA.
Jerusalem waliishi waarabu na wayahudi wa dini zote na nasaba zote. Jiulize wewe kwanini wanaojinasibu kuwa wayahudi walianza harakati za kuundwa kwa taifa mwaka 1919 mashariki ya kati!??
Walikua wapi miaka yote hiyo kabla ya 1919 kuanza harakati zao za ardhi ya kiyahudi!??
 
Acha ujinga kijana toka limi waarabu waliishi Jerusalem waislamu walivamia eneo kama walivyofanya waroma enzi hizo
 
Nikisema una ufala wa fikra nitakua nakuonea!?? Waarabu chimbuko lao wapi!?? Au unataka kusema waarabu walivamia Jerusalem kutokea bara gani? La Afrika au la Amerika!??
Mpuuzi kweli wewe. Aya nijibu hao wazayuni kwanini walianza harakati za kuundwa taifa 1919!? 1918 kurudi nyuma walikua wapi!??
 
Uislamu ni kansa ya dunia sio wa kuupa nafasi hata kidogo.
Hata mimi naona uislam ulianzisha Vita za dunia, vita za kupindua serikali na mikataba ya ushoga. Hata mie naona uislam ni kansa ya dunia.
Hivi Christopher Columbus alikua muislam ambaye aliongoza biashara kubwa ya utumwa duniani!??
 
Nikisema una ufala wa fikra nitakua nakuonea!?? Waarabu chimbuko lao wapi!?? Au unataka kusema waarabu walivamia Jerusalem kutokea bara gani? La Afrika au la Amerika!??
Mpuuzi kweli wewe. Aya nijibu hao wazayuni kwanini walianza harakati za kuundwa taifa 1919!? 1918 kurudi nyuma walikua wapi!??
Shida ya kobazi hamtaki kuujua ukweli,historia zote ziko wazi kuwa hilo ni eneo la wayahudi toka kitambo.

Waarabu kwao ni jangwa la Arabia...jielimisheni acheni kujitoa akili.
 
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.
Mkuu kutoka 1947 mpaka leo bado wanakuwa maskini tu?
 
Nikisema una ufala wa fikra nitakua nakuonea!?? Waarabu chimbuko lao wapi!?? Au unataka kusema waarabu walivamia Jerusalem kutokea bara gani? La Afrika au la Amerika!??
Mpuuzi kweli wewe. Aya nijibu hao wazayuni kwanini walianza harakati za kuundwa taifa 1919!? 1918 kurudi nyuma walikua wapi!??
Dogo waislamu ni chimbuko la watu walioasi au waliokataa dini ya mababu zao Mungu wa isaka Mungu wa yakobo Mungu wa abraham ambapo nyie kwa ufala wenu mkamjumuisha kwenye dini yenu ya kiulimwengu kwamba baada ya miaka 600 ya isaka kuondoka nyie mkajitafutia dini yenu ukweli ndio huo just kuna mambo mnakopy na kupaste from Judaism
 
Shida ya kobazi hamtaki kuujua ukweli,historia zote ziko wazi kuwa hilo ni eneo la wayahudi toka kitambo.

Waarabu kwao ni jangwa la Arabia...jielimisheni acheni kujitoa akili.
Unaejitoa akili ni wewe. Wayahudi walikua wapi kabla ya 1918?
 
Dogo waislamu ni chimbuko la watu walioasi au waliokataa dini ya mababu zao Mungu wa isaka Mungu wa yakobo Mungu wa abraham ambapo nyie kwa ufala wenu mkamjumuisha kwenye dini yenu ya kiulimwengu kwamba baada ya miaka 600 ya isaka kuondoka nyie mkajitafutia dini yenu ukweli ndio huo just kuna mambo mnakopy na kupaste from Judaism
Koma kuniita dogo mtoto usiyejielewa. Huo ujinga uliyoandika ni kwa mujibu wa kitabu gani??
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kua muislamu.

Pwani ya afrika mashariki inaogoza kwa mashoga zenji hadi maasikari polisi ni mshoga.
Nchi zinazoongoza kwa mashoga ni za kikristo ikianzwa na Israel.
Vatican pope ameruhusu ndoa za mashoga kanisani.
Uingereza mapadri wa anglican wameruhusu ndoa za mashoga.
Wanaopigania haki za mashoga ni mataifa ya kikristo na wakristo.
Embu nitajie nchi ya kiislam iliyoruhusu ushoga!?? Moja tu.
Pia hujanijibu Christopher Columbus alikua muislam!??
 
Indio ni nchi ya ajabu sana. Bado wana mfumo wa races. Yani kuna races zenyewe unaweza kuwa doctor, mwalimu n.k

Kuna race nyingine yenyewe unaweza kuwa tu polisi au mwanajeshi. Kuna race yenyewe ni ya wafanyakazi wa viwandani na vyuma (smiths)

Halafu kuna race inaitwa UNTOUCHABLES hawa ndio wamwisho kabisa na ndio wanaofanya kazi za hovyo kama kufagia na kusafisha mitaani na majalala.

Hizi race haziingiliani (kuoana au hata kukaa sehemu moja) na ukuvuka mipaka adhabu zipo.

India pia watu wanajisaidia hovyo kwakuwa wanaamini kuwa na choo ndani ni uchafu ila kujisaidia kwenye beach, mitoni na vichakani kwao poa tu.
 
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.
Misikiti mingi kwa kipindi unachosema ilijengwa kwenye maeneo yaliyokuwa mahekalu ya wahindu. Ambapo waislam walipora mahekalu hayo na kugeuza kuwa misikiti. Historia ya Utawala wa waislam huko India imejaa ukatili na damu ya kutisha. Kuna misikiti ina hadi michoro ya kihindu lakini Waislam wanadai ni yao.!

Wanachofanya wahindu ni kurejesha tu maeneo haliyokuwa yao hapo Awali.

Imagine Waislam walijenga msikiti hata alipozaliwa Lord Rama. Ambapo miaka ya karibuni India wameuvunja na kujenga upya hekalu lao lililokuwepo toka mwanzo kabla ya uislam kufika India.

Ni kama Waislam walivyoenda kujenga msikiti kwenye eneo la Wayahudi la Temple Mount pale Jerusalem....imagine wahindi wavunje al kaaba waweke hekalu lao!

Gyanvapi mosque in Varanasi. One of the walls has remnants of an ancient temple. Creative Commons image.

Msikiti wa Gyanvapi ulioko Varanasi. Huu ni msikiti ambao baadhi ya kuta zina asili ya mahekalu ya wahindu.
 
Waislamu ji wavamizi sana hata pale Israel walivamia eneo takatifu wakajenga temple lao siku wayahudi wakiamuka vibaya utabomolewa
Najiulizaga sana ilikuaje abraham akawa muislamu na hakuna popote pale ameandika kwamba yeye alikuwa muislamu ila sasa ving'ang'a wako tayari hata kuua ila sio kusikia ukweli
Unataka sehemu walioandika kuwa Ibrahim alikuwa ni muislamu. Unataka kwenye Qur-an au biblia. Kama kwenye Qur-an ntakupatia ila kama kwenye biblia Mimi sijui.
 
Back
Top Bottom